SoC01 Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa..

Stories of Change - 2021 Competition

Kilenzi Jr

Member
Jul 29, 2021
13
245
Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufikia umri huo lazima afanye maamuzi magumu yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu.

Akifikia umri wa miaka 40 makucha yake magumu na makali yanakosa uwezo wa kunyakua chakula, mdomo wake uliochongoka unapinda, mabawa yake yanakua mazito na kunata kwenye kifua chake hivyo kumfanya kuwa mzito kuruka na kuwa mwenye kasi ndogo.

Katika hali hiyo ndege huyo hubakiwa na maamuzi mawili tu; Aidha akubali kufa au afanye mabadiliko kwenye mwili wake humchukua siku 150 ambayo ni sawa na miezi 5, hivyo huenda katika kilele cha mlima mrefu na kujificha katika pango ambapo watu na wanyama wengine wanaoweza kumdhuru hawafiki.

Ndipo huanza kujivua kucha , midomo na mbawa zake zilizozeeka huku akisikilizia maumivu makali.

Baada ya mabadiliko hayo hurudi katika hali yake ya mwanzo ya kuweza kuruka kwa kasi kubwa na kupata chakula chake kizuri.

Bado miezi michache sasa ili tumalize mwaka, hivyo lazima ufanye mabadiliko makubwa sana katika maisha yako, ujivue baadhi ya tabia ambazo zinaleta ukakasi katika maendeleo yako ya 2021 japo zingine ni ngumu kuziacha na pengine zitakusababishia maumivu lakini lazima ujivue.

Baadhi ya marafiki wasioelekea unakoelekea wavue, jivue uvivu, jivue uongo, jivue mahusiano yasiyo na Amani, jivue kuahirisha hairisha mipango yako na mengine mengi yanayofanana na hayo ambayo yanakufanya usifanikiwe.

USHAURI

Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa.. . fanya mabadiliko sasa ndani ya hii miezi michache iliyobaki na uwe na tabia mpya pia mtazamo mpya kwa ajili ya kuendelea na safari yako mpya ya maisha.

Anza maandalizi MUNGU akujalie ufanye maamuzi sahihi ili uishi kwa Baraka na moyo safi.
 
Sawa Mr.Tai
 
Safi sana
 
Back
Top Bottom