kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 10,738
- 10,981
Kwanza nichukue fursa kuwapongeza wale wote wenye kuweza kuieleza habari bila ya kuonyesha ulimbukeni wa kujifanya hajui neno la kiswahili na kusema la kiingereza na nasikitishwa na tabia inayoota mizizi kwa sasa utakuta mtu ni maarufu au kiongozi mkubwa na anajua nyuma yake kuna kundi la watu wanamuangalia na kumfuatilia na kumsikiliza yeye bila haya hata kidogo anaamua kuongea kiingeza hata sentesi tatu wakati katika nchi hii wetu ni maimuna hatuijui hiyo lugha,
Kwa muktadha huo mtu anakuwa ametuwacha na hataeleweka anachokizungumza.
Ombi wana habari na watangazaji wa redio kwenye mahojiano yenu jitahidini kupunguza kiingereza au fungueni idhaa za nje mualike wageni wa kiingereza upande wa kiswahili mlete mtu anaye ongea kiswahili fasaa bila kutuchanganyia madawa.
Hatari kubwa kwa walio huko vijijini kwanini usikope neno la lugha kwenu kuko misungwi ndani.
Angalizo kama mmetoka english kozi kwenye mahojiano ya msingi sio sehemu ya majaribio!