Ikiwa Raira Odinga atashinda,Je EAC itaendelea??

Huu Muungano wakati wake bado kabisa. Raila akishinda lazima apewe muda wa kuijenga nchi yake kufuatana na sera zake na pia ahadi alizotoa wakati wa kampeni......kwa hiyo waoutaka muungano.......wasubiri tu......tena wasubiri sana...........wataupata muda wake ukifika......kalini sio sasa hivi.
 
Huu Muungano wakati wake bado kabisa. Raila akishinda lazima apewe muda wa kuijenga nchi yake kufuatana na sera zake na pia ahadi alizotoa wakati wa kampeni......kwa hiyo waoutaka muungano.......wasubiri tu......tena wasubiri sana...........wataupata muda wake ukifika......kalini sio sasa hivi.

Ha ha hizi statements hakikisha huzisemi mbele ya M7 maana anataka awe rais wa kwanza wa EAF
 
Noamba nisahihishe alafu niendelee - 'Raila' and not "Raira".

…It will be a different geopolitic! Ikiwa atashinda.

Unwise:
(To be against) to imagine, of the old crew,to head the geopolitics of the 22nd century. The EAC might(with no political gigantism), again, might use the only old guard(Museveni).The only old Guard., to safeguard the EAC interests(hopefully sio mafisadi), to gain geopolism in the so called globalization.

The ongoing geopolitic squabble in east Africa is one of the few cracks in the making of EAC and ultimately the AU. An obstacle to the making of EU. (Mind you!)

The eyes are with the beholder! (Here-I am)
EAC itaendelea, na, itakuwa kwa kishinikizo.

Tanzania ikitaka iwepo kwenya maamuzi ya EAC lazima isimame kwenye siasa(sioni vinginevyo kwa miaka 20) na iwe imara 2010(CCM or Upinzani)! kama ni kufikia muafaka huu, nao ni kuwa wakomavu wakati wa kupiga kura 2010! Ukomavu huu ndio utatuletea ubingwa, kama sio ubingwa wa Amani na Siasa-Utulivu, basi itakuwa historia ya ulimwenguni(walikuwa). Amani na utulivu itakuwa siasa iliyopita na kuwa ya mlolongo. Tutajivunia nini? Tutajigamba nini?

Nimesoma na kuchambua midahalo inayoendelea, kwa uhakika tunapo enda sio tu kunahitaji Mzalendo haki na wakweli, bali Mzalendo wa fikra mbadala wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Maamuzi na mabadiliko(ya nguvu na amani) from venezuela , South Africa, Pakistan, Kenya, Urusi...Kadha wa kadha sio ya kuangalia na kutoa kidokezo! We have to strategically focus(much-a-do). Yaliyotokea hivi karibuni kwa namna moja au nyingine yamo tayari kwa wananchi na naamini haya ndio yatatuletea maendeleo yakinifu!

Napenda kutumia fursa hii kuwasii Wananchi na wanasiasa wa Kenya na wengineo Afrika mashariki, kuwa, wakati ni sasa! Wananchi wameamua na watanedelea na maamuzi. Kubali, tujenge Uchumi sasa!
 
Nadhani hatuna sababu ya kuendelea na mada hii kwakuwa Raila si mshindi.Vinginevyo kichwa cha habari kibadilike.
 
Nafikiri whether the heading is changed or not the discussion is still valid.It will just have to evolve into "Can the EAC be feasible with the current volatile political structure?"

Moja ya hoja inayotumika kukubali nchi ziingie EU kwa mfano, ni political stability.Ndiyo maana mpaka leo Waturuki wanapigwa danadana.Which standards do we have tio this end?

Otherwise, entropy and brownian motion parallels in politics will ensure that the instability in Kenya will spread to EAC.
 
Back
Top Bottom