Ikiwa nadaiwa mkopo na nikakiri nimeshindwa kulipa ni hatua gani naweza kuchukuliwa?

Labda faini za mahakama, wanatoa hukumu bila kujua uwezo wa mtu! Ila mikopo ni lazima uwe na vigezo kabla ya kukopa, ulichoweka dhamana kinaondoka bila huruma. Vinaondoka kiulaini kama ulivyochukuwa pesa kiulaini .
 
Basi wachukue hiyo kadi na ili kila hela ikingia kwenye Akaunti yako wachukue kiasi hadi hapo deni lao litakapoisha.

Tahadhari usiwape namba yako ya siri na ingependeza kama mtakubaliana kuwa utakuwa unalipa kiasi gani kwa mwezi.
atajiunga simbanking mpunga ukiingia anavuta wote wanabaki na kadi yao kama pambo usicheze na walimu aisee:):):):):):)
 
Hiii hali wanayo waalimu wengi sana.
Waalimu wana nafuu kwa sababu ana ulinzi na ajira yake pia akistaafu ana kiinua mgongo kwa hiyo ujanani anaweza kuupiga mwingi akiwa na uhakika na kuzeeka vyema.

Tatizo lipo kwetu wa sekta binafsi picha linaanza kazi kwanza ni ngumu afu anayesimamia anakupiga fitina ili ukubali kuresign ili ampe shavu shemeji yake au mtoto wa dada yake
 
Kwenye situation kama hizi lazima utafute possibility la sivyo utalala na njaa wakati account ni yako na una njia nyingi ya kuaccess na kucontrol hata bila ya kuwa na kadi unamuacha apambane na kadi akikuuliza mbona mshahara hauingii unamwambia nina adhabu miezi miwili then unatia huruma tena akupe hela ya kusurvive town
 
Kuna mwalim mmoja alikua anachukua elf 22 mwisho wa mwezi Kama salary yake.
Huyu Mwalimu ndo anastahili degree ya heshima ya uchumi trust me.

Kuna kipindi unaenda kuchukua mshahara unakuta mshahara hautoshi kulipa deni unalodaiwa unakaa unawaza how ntaweza kusurvive lakini Mungu si Athumani unajikuta unaendelea na life like nothing happened
 
Mtoa mada utakua Teacher kondeee

Hzi microfinance za mtaani ndo zimeshikilia kadi za benk za walim karbia wote.
Hii nchi inakadiriwa kuwa na wananchi milioni 60+ sio fair kuona kila mwajiriwa anayelalamikia maslahi kuwa ni Mwalimu
 
Pole mkuu, I hear you.

Kuna watu wanaweza wasikuelewe lakini mabalaa yapo.

Usipolipa, dhamana uliyoweka inaweza kuchukuliwa. Pia siku hizi kuna taasisi inaitwa Credit Reference Bureau, ukishindwa kulipa taarifa zako zitapelekwa huko, siku nyingine unaweza kukosa mikopo kwenye taasisi za kifedha maana unahesabika kama mkopaji mbaya.

Hayo jamaa wa ATM card, kuwa mjanja.... nenda bank waambie kadi yangu imepotea, ifungwe; watakupa nyingine.
 
Back
Top Bottom