Wamunzengo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 810
- 321
mimi pia sijahesabiwa mpaka leo..na tetesi nilizosikia eti usipohesabiwa hata kwenye zoezi la uandikishwaji wa vitambulisho vya taifa tunaweza tusiandikishwe simply bcoz hatuna taarifa zozote za awali..je hili nalo lina ukweli??
Mkuu usiwe na wasiwasi. kwa kifupi hili zoezi la sensa ni bovu mno na sidhani kama watatumia haya madodoso kwenye ishu ya vitambulisho vya taifa. kwenye vitambulisho vya taifa lazima wafanye usaili upya. maswali yenyewe hayaeleweki, wengine wanaulizwa matatu, wengine matano, wengine kumi, yaani ni vululuvululu.
Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.