Ikiwa mimi sijahesabiwa ni watanzania wangapi hawajahesabiwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikiwa mimi sijahesabiwa ni watanzania wangapi hawajahesabiwa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MASEBUNA, Aug 30, 2012.

 1. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kutenga siku mbili za kutokwenda kwwenye katika miahangaiko yangu ya majukumu ali tu nihesabiwe sijaona cha karani wala nani kuja nyumbani kwangu kuhesabu, na nimejaribu kuuliza baadhi ya wafanyakzi na marafiki zangu asilimia kubwa hawakuhesabiwa mpaka leo ambapo ndiyo mwisho wa zoezi.

  Sasa sujui hizo takwimu itakuwaje?
   
 2. kidi kudi

  kidi kudi JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  mimi pia sijahesabiwa mpaka leo..na tetesi nilizosikia eti usipohesabiwa hata kwenye zoezi la uandikishwaji wa vitambulisho vya taifa tunaweza tusiandikishwe simply bcoz hatuna taarifa zozote za awali..je hili nalo lina ukweli??
   
 3. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  Mimi pia sijahesabiwa
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  hakya nani Tanzania hakuna tunachokiweza.
   
 5. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mimi cjahesabiwa bado na sio mimi ni jumuiya ya nyumba nyingi za ppf mwanza hatujahesabiwa.
   
 6. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mimi cjahesabiwa bado na sio mimi tu,wakazi waa nyumba nyingi za ppf mwanza hatujahesabiwa.
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  wanatengeneza mazingira ya kuongezwa siku ili waendelee kula hela
   
 8. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Si bado kuna kesho na keshokutwa? Lakin pia wamewashauri wale ambao bado hawajafikiwa wapeleke taarifa zao kwenye ofisi za mtendaji. Tuvumiliane tu, ndo TZ yetu
   
 9. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mimi pia sijahesabiwa japokuwa tuliambiwa hata kama upo safari utahesabiwa huko huko kuepusha kuhesabiwa mara mbili. Nipo safarini Uganda na hilo zoezi wala halitamburiki huku.

  Hakyanan sintokubali takwimu za kuchakachua!
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280

  Ulilala wapi usiku wa kuamkia tar 26? Alaf hapo kwenye red sijakusoma vzr
   
 11. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kunikumbusha nilimaanisha SINTOKUBALI.
  Juu ya tarehe ya kuamkia 26 nimelala Mbarara Uganda.
   
 12. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Dalili za kutohesabiwa naanza kuziona.
   
 13. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Bora ninyi mmnaudhuru wa maana lakini mimi nimekataa kwakuwa hakuna kipengele cha dini na hakuna sababu ya maana ya kutokiweka ! Walikuja banaaa kwangu lakini nkawatolea nje na walinielewaaa
   
 14. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Sasa tukipeleka taarifa wenyewe kwa mtendaji na sisi tutalipwa kama makarani wa sensa?
  Kwa nini wasingesema tu watu wote wapeleke taarifa zao wenyewe?
   
 15. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Jioni ya leo saa 5:42 nimewaona makarani wa sensa eneo la ppf kiseke kwenye nyumba zilizopo upande juu wa barabara inayoenda Buswelu, wewe upo ppf maeneo gani?
   
 16. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Familia yako itaulizwa "Je kuna jamaa yenu aliyeko nje ya nchi?" Jibu NDIYO. Kiongozi wa familia ataulizwa tena "Huyo jamaa yenu yuko nchi gani?" Naye atajibu "Uganda!"
   
 17. Y

  YAKO Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hata mimi sijahesabiwa bado.
   
 18. TOFU

  TOFU JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 532
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Mimi nadhani serekali haikujipanga kwa hili.
  Kwa mtazamo wangu ingepaswa itenge angalau siku mbili hakuna kusafiri wala kufanya kazi yoyote Xsept Hospital ndo zifanye kazi kwa siku izo mbili
  Nadhani kwa mtindo ulioko hatuwezi kupata takwim kamili..........!
   
 19. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kunaaina nyingi za kukadiria kwenye takwimu hivyo wanawezafanya regression, interpolation au extrapolation kuwakadiria waliogoma au wale mliosahaulika. Kinachotakiwa ni sample ya kutosha kupata majibu ya uhalisisia wa population. Nina hakika sample imefika. Nafikiri wale mathemagicians ndio wakati wao wakufanya magics.
   
 20. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Napata picha utakavyokuwa unaulizwa maswali 62 kule Mahabusu na ulivyo bonge mbona kamasi zitakutoka, kwa kifupii jiandae kwenda kuhesabiwa mahabusu!
   
Loading...