Uchaguzi 2020 Ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa kutojenga jengo la Kanisa, Je mgombea Urais anayetoka chama kisichojenga ofisi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu tutolee upuuzi wako hapa.

Magufuli alipitishwa kugombea mwaka 2015 baada ya kupitia mchujo mkali sana na matokeo yake tumeyaona wala hatuna haja ya kusema hapa kazi njema zilizofanyika.
Chadema hamna msimamo wowote kupata mgombea bora kumbuka mlivyomzoa lowassa baada ya kupigwa chini na ccm.
Magufuli bado ni chaguo la wengi
 
Kwa taarifa yako ccm hawana jengo lao hata moja.....
Majengo na viwanja wanavojidai kua vyao ni mali ya umma na ilitakiwa mali zote zirejeshwe serikalini pale 1992.......
Maana hizo ni mali za watz wote wenye vyama na wasio na vyama.....
Ccm wametumia hizo mali kujenga ofisi zaidi kitu ambacho ni ufisadi......
Chadema wakiingia kitu cha kwanza ni kutaifisha mali zote za ccm maana kimsingi ni za umma.....
 
Leta ushahidi mkuu sio maneno matupu
 
Hakuna bavicha wa kujibu hili swali wengi watapita kimya na watakao jitutumua kujibu watakutoa nje ya mada na kuongea utumbo kama kawaida yao.
 
Nimekuwa nikiona baadhi ya members wakipiga sera na ahadi za Gwajima anazozitoa kwa wana Kawe kuwa hazitekelezeki kwa kigezo cha kushindwa kujenga jengo la kanisa lake.

Tukija upande wa pili tunaona pia CHADEMA nao wameshindwa kujenga jengo la ofisi yao kwa miaka mingi sana zaidi ya kuendeshea shughuli zao za kila siku kwenye servant quarter.

Sasa CHADEMA mtuambie ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa sababu hajajenga jengo la kanisa je mgombea wa urais anayetoka kwenye chama ambacho hakijajenga jengo la ofisi tunamchagua vipi?

View attachment 1568882
Makao makuu ya CHADEMA yanatia aibu sana. Nashindwa kufikiria kuhamisha mtu kutoka tasisi hii na kumweka kwenye taasisi kama Ikulu.
 
Makao makuu ya CHADEMA yanatia aibu sana. Nashindwa kufikiria kuhamisha mtu kutoka tasisi hii na kumweka kwenye taasisi kama Ikulu.
Ni aibu kubwa sana nashangaa wanavyomkomalia Gwajima ajenge jengo la kanisa badala ya kumkomalia mwenyekiti Mbowe ajenge wahame kwenye servant quarter
 
Nimekuwa nikiona baadhi ya members wakipiga sera na ahadi za Gwajima anazozitoa kwa wana Kawe kuwa hazitekelezeki kwa kigezo cha kushindwa kujenga jengo la kanisa lake.

Tukija upande wa pili tunaona pia CHADEMA nao wameshindwa kujenga jengo la ofisi yao kwa miaka mingi sana zaidi ya kuendeshea shughuli zao za kila siku kwenye servant quarter.

Sasa CHADEMA mtuambie ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa sababu hajajenga jengo la kanisa je mgombea wa urais anayetoka kwenye chama ambacho hakijajenga jengo la ofisi tunamchagua vipi?

View attachment 1568882
Hii picha hapa ndo makao makuu ya Chadema chama kinachotaka kuchukua serikali!?
 
Amini amini nakuambia hapo ndio makao makuu ya chadema. Hawapo serious kabisa yaan wanataka kutoka servant quarter hadi ikulu
Dah!!,aisee ni aibu,aibu sana kwa Chama kama chadema akina ofisi wakati Mbowe kakwapua bilioni nane za chama.
wepesi wa kukosoa ilhali wao hata kujenga ofisi wameshindwa.
 
Sifa moja wapo ya kuwa mbunge ni kuwa na umri wa miaka 21 na kuendelea ivyo uyo ni mtu mzima. Huwezi kumpangia mtu mzima akazwe na nani. Hoja yako haina mashiko
Misumari ya kule imekutuma kuanzisha mada ili kumtetea Gwajiboy :D :D :D
Buruduka na hizi nondo chache zilizokukimbiza povu ruksa;

lugha za mafumbo na vijembe hupendelewa kutumiwa na wanawake. nashindwa kukuelewa comrade.
Kwa hiyo hapo unamjibu mwanamke mwenzio au sio? :D :D Je mithali na mafumbo yaliyoandikwa katika vitabu vitakatifu ilikuwa mipasho?
Izoeshe akili kufikiri dunia inahitaji wenye maarifa, akili na upeo kufikiri sio kila kitu utafuniwe mkuu ndugu yangu ukiendekeza hivyo kuna kutafunwa pia!!

Pia imeandikwa;

Hakika imeandikwa " mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili "

Hapo Gwaji anakuwa fungu gani au ndio mpanda farasi wawili...?

So kaamua kupoteza heshima yake kulinda kawe?

Huyo mcheza filamu pendwa ni tapeli mkuu, aliwahi sema atanunua treni nadhani unalikumbuka hili pia, vp una maoni gani juu ya hilo?
Badala ya kuwanunulia Ambulance, kwa nini asiwafufue wafu na kuwaponya wagonjwa kama anavyofanya kanisani kwake......!!

Gwajima ni TAPELI No. 1 Tanzania ....!!
Aisee ukiingia Google usithubutu kuandika neno "Gwajima"
Asubuhi hii nimepelekwa kusikojulikana na hao Google baada ya kuandika neno hilo nikitafuta vitabu vya kijapan alivyotuhadithia. Nani aliye upload ile video lakini πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom