Ikiwa Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya Kongamano la Katiba Mpya, wengine wameshikiliwa kwa kosa gani?

Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel kulikopangwa kufanyika kongamano hilo ikiwekwa chini ya Ulinzi mkali kuanzia ndani hadi nje na kuzungushiwa utepe wa hatari.

Viongozi kadhaa walidakwa na kupelekwa rumande hadi dakika hii (Dunia nzima inajua), sasa leo wanakuja na ngonjera za kiwango cha chini kwamba Mh Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya kongamano hilo , bali alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa serikali.

Sasa swali ni hili: Wale wengine waliokamatwa sambamba na Mbowe walikamatwa kwa sababu zipi?

Mungu ibariki CHADEMA
 
Peleka uji wewe acha mbwembwe za JF
 
Tatizo ni elimu elimu
 
Shule ni muhimu sana bahati mbaya watu walioenda shule hawapo ndani ya jeshi la polisi na waliopo ni wale elimu yao ya kuunga unga

Vidiploma na degree za jioni na hii inaenda kwenye serikali nzima ukifatilia fresh from school ndani ya serikali hawafiki hata 10% walio kazini.

Wengi wao ni wale waliingia kipindi cha mwinyi na mkapa kwa elimu ya kuunga unga na vyeo vya kubandikana.

Yaani kiufupi hatuna uongozi nchi hii hata Rais Magufuli elimu yake ilikuwa na mashaka.

Samia elimu yake ni za kuunga unga tu

Ndio maana tumezalisha siasa za ovyo sana sababu ya kutokuwa na watu sahihi kwenye uongozi.

Watu wenye uelewa wa mambo na elimu ya kutosha isio na mashaka wapi benchi ila wajinga wajinga kama Mwigulu wapo eti wizara ya fedha.
Nisaidie elimu ya mh Mbowe ni ya level ipi?
 
Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel kulikopangwa kufanyika kongamano hilo ikiwekwa chini ya Ulinzi mkali kuanzia ndani hadi nje na kuzungushiwa utepe wa hatari.

Viongozi kadhaa walidakwa na kupelekwa rumande hadi dakika hii (Dunia nzima inajua), sasa leo wanakuja na ngonjera za kiwango cha chini kwamba Mh Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya kongamano hilo , bali alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa serikali.

Sasa swali ni hili: Wale wengine waliokamatwa sambamba na Mbowe walikamatwa kwa sababu zipi?

Kazi kweli kweli
 
Lile swala la mtu aliyefeli Form IV aende kujifunza kuwa Police ndio limeleta haya tunayoona leo.

Akawasha gari akateleza...
 
TULIPOFIKA PAMOJA NA KWAMBA TUMEVUKA KIKWAZO KUJUA WAPI ALIPO MBOWE,ILA SASA PAMOJA NA MIKAKATI MINGINE KUHAKIKISHA WOTE WANAACHIWA, NA SI KWA OMBI BALI LAZIMA, ITOSHE SASA

1. Kuwatangaza CCM WOTE bila kujali mtu anacheo gani ndani ya CCM na washirika wao wote katika kutenda maovu Kama adui no moja wa taifa Hili, na isemwe bila kupepesa macho, na KWA mantiki Iyo marafiki zangu mlio katika ushirika huu mnikome,futa namber sitaki mawasiliano na nyie, binasfi nifutilia mbali manamber yenu, tusikalibishane kwenye Mambo yenu, iwe kwenye shida au raha, Sitaki,

2. Kitendo Cha Mwenyekiti Taifa tuumiwa na UGAIDI, maana yake wapenzi na wafuasi wa CHADEMA TZ sote ni MAGAIDI , so hatutakiwi kuona Cha kupoteza bali ni lazima hakikisha Mwenyekiti anaachiwa akaungane na sie au Kama vipi wote TWENDE tukapate mateso na kifungo Cha UGAIDI, maana Mpaka mda huu , no one is safe , soon neno Gaidi litatoka KWA mtu mmoja kwenda KWA mwingine

3. Jeshi letu la polis , limeamua kukaa upande mmoja wa WATU na Sio katikati ya haki ndani ya taifa, ni vyema Sasa iwe Mbowe amefungwa au la , KUTOWAPA USHIRIKIANO WOWOTE, MPAKA FAMILIA ZAO , Ndugu zao maana tunaishi nao, Mpaka pale watakapo ACHA aya mambo ya ajabu , na kuomba radhi watanzania ,

MWISHO , MBOWE SIO GAIDI, NA NILAZIMA KUMUACHIA, WALA SIO OMBI, SERIKALI ONEVU IMEKOSA KIBALI CHA MUNGU KUONGOZA TAIFA,
that's
 
Endelea kuchekelea maovu
Mbona wewe the real and only Mwamba alipokufa ulifurahi? Acha nasi tufurahie jamaa kuwa lupango. Huu ni mpango wa mungu kuadhibu wote waliofurahia masiha JPM kufariki. Wahi kupeleka chakula cha jioni lupango usije ukaachika bure
 
Back
Top Bottom