Ikiwa leo hii Rais Samia anatia sahihi makubaliano ya ulinzi na usalama na Msumbiji basi kuna kitu kiliharibika hapo nyuma

Ukiona samia anasign mikataba ya makubaliano nikwamba wengi wameshauri litendeke sasa yeye afanyaje anaenda na kura nyingi .
Walaumu walipiga kura nyingi sio Samia
 
Mambo ya kusaidiana kienyeji yameshapitwa na wakati. Sasa hivi tunakwenda kisheria zaidi, na hili ni jambo jema sana kwa ajili ya kuweka kumbukumbu zitakazodumu kwa miaka mingi ijayo
 
Ndio siku tatu watu wañapata posho ya nje nchi.huko mbeleni tuwachague wachumi kama washauri mnafika mnasaini mnarudi,sasa siku tatu africa kuna lipi la kulala ugenini la zaidi.
 
Nyusi alienda Chato na tukaambiwa kuna makubaliano ya ulinzi na Usalama yaliweza kusainiwa na Hayati Magufuli, labda kuna Amendments zimefanyika Kati ya Tanzania na Msumbiji katika huo Mkataba
Au labda Magufuli alimpa Nyusi upuuzi kuhusu ulinzi na usalama kati ya nchi zetu ambao mama ameenda kuubatilisha katika hiki kinaitwa makataba wa amani na usalama. KUmbuka ni huyu Magufuli alisaini kitu kama hicho na Israel na Morocco, tofauti na msimamo wa viongozi wa huko nyuma

Wewe fikiria, Magufuli na Nyusi wa saini makubaliano ya Ulinzi na Usama
Magufuli anakufa Samia na Nyusi yule yule wana sini tena makubaliano ya ulinzi na usalama

Hapo lazima tutumie akili zetu na za kuona Nahisi walikuwa wanabatilisha upuuzi fulani wa Magufuli
 
Tatizo Msumbiji waliwasikiliza wanaharakati katika kupambana na magaidi mpaka sasa wanahangaika nao. Tanzania walipojaribu tukaanza kukusanya vile viroba ufukweni..ndiyo salama yetu mpaka leo
 
Issue mpya mpya kama terror na panyaroad zinahitaji mbinu mpya hence makubaliano mapya
 
Hakuna cha maana umewaza hapo.
Kila leo tunaliliana saini na nchi za nje mambo kadhaa ya maendeleo ,je ulijiuliza kuwa uhusiano ulivunjika? Mara tumeliana na Japan kufanya abc . Ikiwa uliwaza awamu fulani ilivunja haipo.
Ili upate jibu zuri nenda uangalie huo ulinzi waliotiliana saini unaenda hadi level ipi? Kulinda mipaka? Kulinda hadi ndani ya nchi? Kulinda hadi raiana mali zao? Kama hakijulikani basi. Better shutup
 
Back
Top Bottom