Ikiwa kikwete atakuwa rais uwenda asimalize muda wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikiwa kikwete atakuwa rais uwenda asimalize muda wake!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TumainiEl, Sep 12, 2010.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,895
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Kuna usemi wa wahenga usemao, dalili za Mvua ni mawingu, namwingine husema, sikio lakufa halisikii dawa. Nisingependa kuandika sana ila nia yangu kuufahamisha uma juu ya yale yatatokea baada ya uchaguzi. Jambo la kwanza ni hamu ya watanzania kumuona Dr Slaa anakuwa rais wao.

  Hata hvyo ccm wataiba kura ili kumpitisha kikwete namajibu yake ndio haya nayeye kikwete hatodumu. Ni ukwel usio pingika afya ya Kikwete inataka kufanana na Rais wa Naigeria ambaye wanachi hawakumpenda ila akapitishwa kwa nguvu na hatimae hakumaliza Muda wake akafariki, huyo sio mwingine ila ni hayati Rais Yaradua wa naijeria.

  Nadhani ndicho chaweza tokea hapa kwetu ikiwa CCM itafanya ujinga. Ningekuwa Kikwete ningejistaafia kwa manufaa ya nchi yangu na serikal yangu lakn kwasababu yauroho wamadaraka anazid kung'ang'ania.

  Hivi ni nani ktk maisha yake anaweza kusema aliwah kuona wapi Rais wa nchi ana anguka mbele ya hadhira kama gogo! Kikwete Mungu kamkataa nahakika hawez kuuwongoza uma wa watanzania maana hakubaliki. Tulimpenda miaka mitano ilipita ila sasa akapumzike,simuombei mabaya ila akumbuke Shekh yahaya sio mtabiri peke yake tupo watu twamcha Mungu naye Mungu kutupa mafunuo.

  Nasikitika kusema tena serikal yake haitodumu,wala chama chake hakitodumu. Mungu ibariki Tanzania. Mungu wabarik watanzania. Amen.
   
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Umekua shehe Yahya nini?

  Kama ni afya weye yako ipo je? hata hivyo hayo ni mambo binafsi ambayo hayatakiwi kujadiliwa. Wewe jadili ahadi zake. Teh teh teh. Ama kwa JK ni halali kujadili mambo binafsi??
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Duh hata kama humpendi usimuombee hayo ndugu, wote tuko njia moja, ni Mungu ajuae saa na wakati. Hujue Mungu huyaumba maneno ya midomo yetu so tusinene kama wapumbavu. Muombee mema wala hutapungukiwa na kitu, Mungu ampe maisha marefu ili aweze kuona nchi inavyoongozwa kwa kufuata sheria na uadilifu.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kama raisi wetu amejikabidhi chini ya ulinzi wa mashetani ya Sheikh Yahaya lazima tuhoji sisi walipakodi. Huwezi jadili ahadi zisizotekelezeka wala sera maana lazima tutakuwa na uchaguzi mkuu mwingine halia ya Jakaya ni tete!
   
 5. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Kama ni mambo binafsi kusingekuwa na kifungu kwenye katiba ambacho kinaongelea afya ya rais.
   
 6. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Ni Afya ya Rais wa UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ambaye ana- affect na ku-influence 40 million people of the UNITED REPUBLIC OF Tanzania. We have the right to tell him him go and rest, you're sick. In the other hand he will remain as Mr. Kikwete and we are sorry for him and help him as a retired President. BUT as a President it is the question of National Interest; not Mr. Kikwete and Crony interest! Understand that no country in the world is being led by a falling president; only Tanzania. He fell 3 times but analysts say he has fallen 5 times.
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hebu tupeni hicho kifungu gani cha katiba kinazungumzia hii issue tukipitie, tuone kama muheshimiwa amepungukiwa sifa
   
 8. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nadhani jamaa kazingatia sana afya ya jei kei, lakini kwe wenye upembuzi yakinifu wa hoja za na mawazo ya watu, nadhani watamuelewa mtoa thread hii, amejikita kwenye ninizaidi
   
 9. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwenye sera tunaweza kusema sana, lkn mambo ya life and death jamani tumuachie Mungu na israel mtoa roho.
  unaweza ukaumona huyo mzima kaanguka tu ghafla na huyu anayechechea akaendelea kudunda. ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa naye ashuhudie kwa macho

  "Ikiwa kikwete atakuwa rais uwenda asimalize muda wake!"
   
 10. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni mind-set yako. Wewe unaogopa kufa?? Kila mtu atakufa. Mtoaji wa hoja anataka Rais atakayechaaguliwa awe ana afya nzuri. Mtu akiwa mgonjwa hawezi kufanya kazi inayotakiwa. Rais anaakuwa na pressure kubwa sana. He must be fit for the job.

  Hivi sisi tunafikiriaje; this is different thinking. Hatumuombei afe; tunasema apumzike kwa sababu kazi ya Rais ni nzito!! You must be fit for the job.
   
 11. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani tumuachie Mungu ndio ujua nani anaondoka lini? Na kila kiumbe kina siku yake.
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hapo nilipoweka nyekundu kuhusu Rais wa Nigeria - ndugu wacha uongo, wacha uongo, wacha uongo. Rais Yar'adua alichaguliwa kwa kura, sasa hilo la kutompenda sijui umelitoa wapi. Kama ni kuumwa hilo ni jengine na ye yote anaweza kuumwa na kufa kama alivyokufa yule Rais Mwanawasa wa Zambia.

  Jamani hebu mujaribu kusoma magazeti musisikie vitu nusu nusu halafu mukaanza kuunganisha na kuleta historia yenu muliyoiandika wenyewe.

  La pili, eti Kikwete Mungu kamkataa - jee wewe uliwasiliana na Mungu akakwambia hivyo? Mungu alikupa ufunuo kakutumia email, fax au barua?
  Hukatazwi kumkataa wewe kama Tumainiel lakini usimzulie Mungu katika hili.
   
 13. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  ======

  Haya yanasababishwa na mambo makuu mawili:

  -Kushindwa kwa CCM na serikali kutoa ufafanuzi wa wazi juu ya afya ya Rais. Kuanguka mara tatu mbele ya watu si jambo jema kabisa. Hata baadhi yetu ndani ya system tunaogopa. Imefikia mahali, baadhi yetu tunaogopa kuwa kwenye zamu pamoja naye maana hatutaki kuwa katika vitabu vya historia.

  -Rais mwenyewe kutokemea maneno ya Shehe Yahya wazi wazi. Hivi sasa Ikulu hakuna anayeruhusiwa kuuliza juu ya jambo hili. Suala la afya ya Rais limeachwa mikononi mwa watu wachache sana, tena wasio na dhamana yoyote mbele ya umma wa watanzania. Nampenda Kikwete na ninamsihi sana atokee hadharani na kuweka wazi jambo hili kwa sababu si aibu maana kila mtu huugua.

  INANIUMA SANA.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mnarefusha san a mambo..Hutu jk Hana afya na hatoweza kustahimili kuongoza.period!
   
 15. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo CCM ndio wenye hakimiliki ya kujadili mambo binafsi?Akiongelewa Dkt SLAA ni sawa,tukijadilia afyaa dhoofu ya Kikwete ndio mnakumbuka kuwa si vema kujadili mambo binafsi?

  By the way,kwanini wapiga kura ambao ni taxpayers wasijadili potential burden ya kushughulikia msiba wa kitaifa?Hatumzungumzii Abood Jumbe au Warioba kwa vile hawagombea kutuongoza,lakini Kikwete na afya yake mbovu anang'ang'ania kutaka arejeshwe Ikulu.

  Anyway,majini ya Sheikh Yahya yatamlinda
   
 16. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Eti dada,kwani Kikwete kuanguka mara kwa mara kunasababishwa na nini?Inaelekea unamjua vema from the way unavyomtetea.Tuambizane basi
   
 17. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,461
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Kazi ya Mgombea mweza ni nini?Yaani Makamu wa Raisi ni kuvaa viatu vya kiranja wakati wa majanga kama hayo ambayo siombi yatokee.Mgombea mwenza ni back up mpaka baada ya muda maalum.
  Chama kinaweza kudumu,shida ni uongozi,wakipata viongonzi safi wanaoheshimu maadili ya uongozi watapeta tena.
   
 18. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani,Mungu ana majukumu mengi sana na hili wazo la kumwachia yale tunayoweza kufanya wenyewe ni kumwongezea mzigo wa bure.Mungu ametusaidia kutuonyesha kuwa Kikwete ni mgonjwa,ndio maana kaanguka mdondo mara kadhaa (hatujui huko faragha kaanguka mara ngapi).Sasa mnaposema tumwachie Mungu mnataka afanye nini zaidi?Amuangushe tena na kumwondoa kabisa au.....?

  Kwa kweli wakati mwingine napata shida ya kuwaelewa watetezi wa Kikwete.They just dont want to discuss his poor health.Kwa wao,afya mbovu ya kiongozi huyo sio ishu inayowahusu Watanzania.What if his poor leadership is directly related to his poor health?

  Laiti angekuwa anajikongoja na afya yake mbovu kulitumikia taifa vyema basi nisingesita kumuombea afya yake inyooke ili tuendelee kufaidi matunda ya uongozi uliotukuka.Lakini apart from hsi poor health,uongozi wake umekuwa wa manufaa zaidi kwa mafisaid,yet kuna wenzetu wanaoathiriwa na ufisadi huo bado wanataka arejee madarakani.

  All I can ask God is,sio Kikwete awe na afya njema,but rather awasaidie nyie mliogoma kuamka kutoka usingizi wa pono unaowafanya muendelee kuvumilia ufisadi wa Kikwete na rafiki zake.Pray not for him but your own redemption.
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mimi sizungumzii kuanguka mara kwa mara kwa JK, na wala simjui zaidi ya kuwa ni Rais wa Tz. Lakini hii ya kumzushia Mungu na kusema kwamba mtu fulani amepewa ufunuo ndiyo ambayo sikubaliani nayo.
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  acha uchuro wako? hivi huyo DR Slaa anagurantee na Mungu ya kuishi miaka mingapi? na wewe je unajua kuwa kesho utafika? kudondoka ni ishara ya kifo? mbona nakushangaa sana, Kamuuliza Pdidy wa bongo aliumwa?
   
Loading...