BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,005
Kwa hiyo Mkapa ambaye aliwahi kuwa Rais ná Mwenyekiti wa maccm anayefahamu kwamba Tume ya uchaguzi si huru wewe unataka kumbishia!! You’re suffering from ACQUIRED STUPIDITY SYNDROME. Upumbavu umekithiri nchi hii.
Mkuu mkapa kwangu sio hoja,kitu akisema mkapa kwangu mimi SIO HOJA ya moja kwa moja ya kuninyamazisha.
Unaweza kunipa tafsiri ya tume huru ni ipi kwa mujibu wa huyo mkapa ?