Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 327
- 232
Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi?
Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7.
Mwanafunzi wa sekondari anasoma sii chini ya masomo 7 mpaka anamaliza kidato cha 4
Sasa kuna changoto mimi binafsi naiona hapo, kwanini tusingejifunza vile ambavyo tutavifanyia kazi?
Kitu gani wewe mdau umewahi kujifunza katika elimu uliyoipata na hujakifanyia kazi? Mimi naanza na four figure😃