Ikitokea Trump akahitaji "List of Shame" chama gani kataathirika?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
habari wadau!

kama tunavyomfahamu Rais mteule Wa marekani anachukizwa sana na mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea katika nchi za bara La Afrika na hivyo kuzifanya zishindwe kuendelea miaka nenda rudi.

Bwana Trump hatabiriki hivyo tusishangae anapiga hodi hata hapa Tanzania kuja kusaka waliohujumu wanaohujumu uchumi wetu (mafisadi) na kutufanya tuwe na hali duni. jeikatokea antaka kudili na List of shame kama ilivyotajwa pale mwembe Yanga no chama gani kitaathirika zaidi ingawa ikishughulikiwa ni jibu tosha kwa watanzania ingawa kuna chama kitapata pigo?. je ni chama kipi hicho? chadema, ccm, Act, Cuf, Nccr?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom