Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,917
1,992
Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia.

Leo ni Mara ya 3 hii Hali hii inajitokeza je ikitokea Hali hiyo ya vitu kuungua ninaweza wafungulia mashtaka?
 
SAHAU,

weka guard kwenye vifaa sensitive mfano friji nunua fridge guard, nunua 'surge arresters' kwa ajili ya TV na vifaa vinginevyo
 
Vikatie bima labda?

Alafu vitu bongo havijaanza kuungua leo wala jana,kila siku miaka nenda rudi mazagazaga ya watu yanaaungua ushawahi sikia au ona mtu analipwa
Zinaungua nyumba tu na hawalipwi sembuse
Pasi fridge etseteraaa

Ova
 
Tulishasahau keep za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama tanesco Wana uwezo was kulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia.leo ni Mara ya 3 hii Hali hii inajitokeza je ikitokea Hali hiyo ya vitu kuungua ninaweza wafungulia mashtaka?
Pa kulalamikia ni kwenye chanzo cha mto Ruaha, maana bila huo nchi haina umeme
 
We jamaa bna jana ilikua wife kaja kunisalimia kazini na mtoto Sasa mtoto ndo akawa anachezea hyo switch ya kuwasha na kuzima umeme katoto ni malaika hajui kitu unataka kushtaki nn Sasa? Au hujui ningemkataza angeanza kulia
 
Shida ya nchi hii ni mavifaa yao ya umeme mabovu sana sijui wanayatoaga wapi. Kila siku yanaleta itilafu inabidi wazime umeme ili kurekebisha.
 
Km TANESCO wenyewe walifanya wiring una haki ya kuwashitaki na watakulipa ila km siyo wa TANESCO hawawezi kukulipa.
Kwa mujibu wa kifungu cha sheria cha kulipwa pindi vifaa vyako vitakapoungua
 
We jamaa bna jana ilikua wife kaja kunisalimia kazini na mtoto Sasa mtoto ndo akawa anachezea hyo switch ya kuwasha na kuzima umeme katoto ni malaika hajui kitu unataka kushtaki nn Sasa? Au hujui ningemkataza angeanza kulia
Mkuu kwa kweli hapo Sina jinsi inabidi tu nikusamehe
 
Vikatie bima labda?

Alafu vitu bongo havijaanza kuungua leo wala jana,kila siku miaka nenda rudi mazagazaga ya watu yanaaungua ushawahi sikia au ona mtu analipwa
Zinaungua nyumba tu na hawalipwi sembuse
Pasi fridge etseteraaa

Ova
Mkuu ni vile tu watz tunapenda kuchukulia poa Mambo ila nadhani kuna haja ya bunge kujadili kero za tanesco maana wao ni wawakilishi wetu ,Kuna mda watu wanapata hasara kutokana na uzembe wao kama hii kukata na kuzima
 
Bunge hawawezi jadili masuala hayo

Mzee,kwani wao wana guswa au kuumia

Ova
 
SAHAU,

weka guard kwenye vifaa sensitive mfano friji nunua fridge guard, nunua 'surge arresters' kwa ajili ya TV na vifaa vinginevyo
Daah mkuu tanesco hawatoi elimu hiyo wakati wanajua hawako vizuri,pia mkuu vitu vinavyotumia UMEME ni vingi taa ndio ziongozazo kuharibika uko mchezo wa kukata na kurudisha ukiwa unafanyika
 
Bunge hawawezi jadili masuala hayo

Mzee,kwani wao wana guswa au kuumia

Ova
Wana nyumba pia Zina UMEME,halafu hizo ni kazi zao mbona meseji za kwenye simu zinazoingia hovyo hovyo zinawakera wanazijadili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom