Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 226
- 299
Khaa! Ila watu nyie!Habari wakuu, hivi kwa mfano ikitokea rais aliye madarakani akashindwa kuiongoza nchi, akagundua kuwa amepoteza mwelekeo na hana uwezo wa kurudi kwenye mstari, anaweza kuchukua hatua gani ili nchi iwe salama nayeye abaki salama? Katiba imesemaje?