Ikitokea Mteuliwa ni Mpagani, sheria inasemaje juu ya kiapo chake?

Mi wala sijamsema kingunge na sina tatizo na imani yoyote na mtu awe anamwamini Mungu, mizimu au haabudu chochote ni sawa tu. Nilitaka tu kufahamu.
Anatafuta Kiki aanzishiwe uzi kuwa anadislike kila kitu kama ndugu yangu Extrovert alivyosemwa anacheka kila kitu hata visivyochekesha😀
Jamaa mpuuzi sana
 
Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.

Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia, mteuliwa huapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Kwa kifupi wakati wa vetting Wana vigezo kimojawapo kikiwa dini au imani ya anayeteuliwa. Kama hana jina halipelekwi mbele. Linakatwa pale pale, simpo
 
Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.

Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia, mteuliwa huapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Ataapa kwa kutumia katiba ya jamhuri ya muungano navkazi iendelee!
 
Zamani kabla ujawa kiongozi unafanyiwa vetting kujua wewe ni nani.
Siku hizi unaweza pigiwa simu tu umeteuliwa.
Mwenzake aliharibu Sana mifumo ya uongozi
 
Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.

Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia, mteuliwa huapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Je, Mzee Kingunge Ngombale Mwilu alikuwa anaapaje, Yeye alikuwa mkomnisti hivyo alitumia katiba ya nchi kuapa.
 
Back
Top Bottom