Ikitokea Jakaya Kkwete kahamia UKAWA

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
Hivi kama ikatokea leo hii Kikwete akatangaza kujiunga CHADEMA...

Je, na yeye ataitwa fisadi?
Je, CCM itakufa?
Je, wapo watakaomfuata?

Ni mtindo wa CCM kumwita fisadi kila anaehamia CHADEMA. Jamani CCM badilikeni kubalini mabadiliko,watanzania wanahaki ya kuamua na kuchagua chama wanachotaka.
 
Simple and clear #hawezi kuamia ukawa...!!
Ccm haifi kwani ccm ya kikwete..!!
Watakao mfuata labda riz tu..!
Kikwete sio fisadi leta ushahidi mkuu...!!
 
Simple and clear #hawezi kuamia ukawa...!!
Ccm haifi kwani ccm ya kikwete..!!
Watakao mfuata labda riz tu..!
Kikwete sio fisadi leta ushahidi mkuu...!!
Wewe una kichwa kigumu sana kuelewa.ndio maana nasema walimu waongezewe posho kwaajili ya watu kama wewe
 
sawa na m/kiti wa CHADEMA (mbowe) kuhamia ADC au CCK....!!! Eti boss wa chama( m/kiti) kinachoongoza nchi ahame..! is it possible?
 
Hivi kama ikatokea leo hii Kikwete akatangaza kujiunga CHADEMA...

Je, na yeye ataitwa fisadi?
Je, CCM itakufa?
Je, wapo watakaomfuata?

Ni mtindo wa CCM kumwita fisadi kila anaehamia CHADEMA. Jamani CCM badilikeni kubalini mabadiliko,watanzania wanahaki ya kuamua na kuchagua chama wanachotaka.
HAYA TUMEKUBALI MCHAGUENI MNAEMTAKA . . . ILA KURA HAZITOSHI, ASANTEN KWA KUSHIRIKI.
 
Hivi kama ikatokea leo hii Kikwete akatangaza kujiunga CHADEMA...

Je, na yeye ataitwa fisadi?
Je, CCM itakufa?
Je, wapo watakaomfuata?

Ni mtindo wa CCM kumwita fisadi kila anaehamia CHADEMA. Jamani CCM badilikeni kubalini mabadiliko,watanzania wanahaki ya kuamua na kuchagua chama wanachotaka.
Kwani anashida na uraisi?Ukiwa kitu gani bana hadi Raisi mstaafu ahamie huko,yeye sio Sumaye wala Lowasa ambao walikuwa wanautafuta uraisi kwa udi na uvumba,tafuta ndoto nyingine hizo unazoota kuhusu Jakaya umenoa.
 
Hivi kama ikatokea leo hii Kikwete akatangaza kujiunga CHADEMA...

Je, na yeye ataitwa fisadi?
Je, CCM itakufa?
Je, wapo watakaomfuata?

Ni mtindo wa CCM kumwita fisadi kila anaehamia CHADEMA. Jamani CCM badilikeni kubalini mabadiliko,watanzania wanahaki ya kuamua na kuchagua chama wanachotaka.
Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Hivi mbona mnatamani visivyotamanika? Ujinga huo waliufanya Sumaye na Lowasa tu. Haitakuja kutokea kwa X-President
 
Akihamia CDM..vijana wa bendela fuata upepo watashusha thread kama 200 za kumpamba.
Hahahaaaaaa. Ni fahari kumtukana fisadi Lowasa. Mwizi wa Simu anauawa lakini Fisadi Lowasa anatamba na shangingi barabarani. Haohao leo ndo wanamsafisha
 
Mkuu mbona una panic ..kwani uongo kabla ya lowassa hajawa cdm alikuwa fisadi papa tena wengine mlienda mbali zaidi na kusema wafuasi wake wakapimwe akili ghafra akageuka malaika na kamanda.
Kwikwikwiiiii. Hawa UKAWA ndo.maana wanaitwa kila aina ya majina mabaya. Wamezidi undumilakuwili.
 
Hivi kama ikatokea leo hii Kikwete akatangaza kujiunga CHADEMA...

Je, na yeye ataitwa fisadi?
Je, CCM itakufa?
Je, wapo watakaomfuata?

Ni mtindo wa CCM kumwita fisadi kila anaehamia CHADEMA. Jamani CCM badilikeni kubalini mabadiliko,watanzania wanahaki ya kuamua na kuchagua chama wanachotaka.
Ikitokea jk kuhamia, chadema je, lowassa atakimbilia, Kwa, zito?
 
Unajua bila kuwa na wajinga hakutakuwepo waelewa!!;uwepo wa wajinga ndo nafuu kwa waelewa!!;anuliza swali la kindezi ka c nyumbu!!
 
Back
Top Bottom