Ikitokea Ghafla Ukakutana na Mh Raisi Magufuli

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana

Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?

au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
 
asante sana
Me ningemshauri ashaurike!asifanye maamuzi binafsi kila wakati ajaribu kupima kila kitu na kushauriana na wengine.maana yeye ni binadam ambae hashauriki ni mungu pekee.
Kingine ningempa pongezi kwa kufanya mafisadi wapate nidhamu ya woga

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
ningemuuliza...
Jesca alimaliza form four mwaka 2011, na matokeo yakatoka 2012. Kama aliamua kureseat basi alireseat mwaka 2012. Then form five 2013/14 na form six 2014/15. Halafu first year 2015/16. That means alitakiwa kwa sasa awe first year. Lakini yupo 2nd year anaingia 3rd year.

au kama aliamua kutumia option ya Certificate basi alipaswa kusoma Certificate mwaka 2012/13. Then Diploma one 2013/14, na Diploma two 2014/2015. Halafu first year Bachelor 2015/16. That means alitakiwa kuwa first year kwa sasa. Lakini yuko 2nd year, anaingia third year. Swali je, Amefikaje?
 
NAHISI

MAJIBU YATAKUA.....KIPINDI CHOTE HICHO SIKUA NA MAMA YAKE AU HUKUSIKIA TULIGOMBANA NA KUTENGANA?
 
Me ningemshauri ashaurike!asifanye maamuzi binafsi kila wakati ajaribu kupima kila kitu na kushauriana na wengine.maana yeye ni binadam ambae hashauriki ni mungu pekee.
Kingine ningempa pongezi kwa kufanya mafisadi wapate nidhamu ya woga

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
hii imetulia sana baada ya kuisoma tena
 
Back
Top Bottom