Elections 2015 Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Watu kama hawa ndiyo mtaji mkubwa wa ccm kuendelea kubaka demokrasia hapa nchini na ndiyo walio wengi sana,hapa Nape akipita juu ya migongo ya kina mama kisa ni kipi?ujinga ulio pitiliza!!!!View attachment 840926
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli huu ndio mtaji wa ushindi wa CCM, japo wewe umeuita ni ujinga, kwa wajinga hao, kwao hayo ni mapenzi kwa CCM, kwa CCM wenyewe, huo ujinga ndio mtaji wao!.

Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! - JamiiForums

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance? - JamiiForums

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? - JamiiForums

Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" - JamiiForums
P
 
Baada ya Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni super man, nimemkumbuka naomba nimdurusu kidogo, niliwaji kusema nini humu kumhusu mtu huyu.

P.
 
Vyama viko kibau mbona hamuandiki habari zao? Tabia ya kuandika habari za chama kimoja tu cha upinzani inafanya waandishi waonekane vibaraka wa ccm.

Habari za chama kimoja tu siku zote hadi inakuwa "Routine and Monotonous". Acheni ukanjanja andikeni habari ya vyama vingine pia ili pia tuvifahamu. Sasa nchi utafikiri chama ni kimoja tu. This is very silly and rather bore some. Please we're fed up.
Mkuu Nyanjomigire, pole, hatuandiki kuhusu chama kimoja tuu, na huu sio tuu ni mfano hao, mwandishi wa hoja kama hii, anaweza kuwa kibaraka wa CCM?.

P.
 
Wanabodi,

Tuache siasa, na tusemezane au tuambiane ukweli, iwapo CCM itashinda tena uchaguzi wa mwaka huu, ushindi huo wa CCM, jee utatokana na Watanzania kufanya informed decision kufuatia CCM kukubalika na Watanzania walio wengi kwa kuwaletea maendeleo chanya ya kuonekanika, majengo, miundo mbinu, mabarabara, madaraja, uhaulishaji fedha za ruzuku kwa kaya masikini etc, etc?!, au CCM itachaguliwa kwa mazoea tuu kufuatia ignorance ya Watanzania walio wengi, hawajui ni nini maendeleo halisi na maendeleo ya kweli, kiasi kwamba, serikali inapotimiza wajibu wake kwao hayo ndio maendeleo yenyewe kwao, hivyo ushindi wa CCM unaweza kabisa ukapatikana kutokana na ku take advantage ya hii ignorance yetu?!.

If you don't really know what you really need, you'll take anything that you are given!, or what you get!, na kufuatia umasikini uliotopea wa Watanzania tulio wengi kiasi kwamba people do not know the real and true taste of development, then one can not miss what you never had!, tutajikuta CCM inashinda tena na tena kwa sababu za kijinga jinga kabisa! na wote watakaoshangilia ushindi kama huu, watakuwa wanashangilia ujinga tuu, kwa kujijua (wafaidika) au kwa kutojijua (wafaidikwa) kuwa ni wajinga?!.

Pasco
Tanzania is amongst the most blessed countries in the world.
Mkuu DEU87 , kwanza asante sana kwa mada hii, naunga mkono hoja, Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana tuu, ila...
Karibu mitaa hii, hili tumelijadili sana humu Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows! na hapa Je, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Pia niliwahi kuuliza maswali haya humu Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na swali hili Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na hili Elections 2015 - Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Tunahitaji mjadala wa kitaifa, nchi yetu nimebarikiwa sana, tuna almost kila kitu!, tunakwama wapi?.
p
 
Back
Top Bottom