Ikikutokea hii utafanya nini? Na kama imekutokea ulifanya nini?

Mkuu, namjua how you feel.. Nimepita kwenye Kipindi kama chako.

Tena demu alikua ni demu wa mshikaji wangu wa kufa nikufe.. Blood kabisa.. Ila demu akanipa tunda.. Tukalibanjua siku, miezi, mpaka miezi Sita ikafika.

Akarudi kwa msela. Najua unavyofeel Maana mimi nimewahi kuwa sehemu kama ulipo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.....inaumiza chief.
 
Wewe mshikaji unajipotezea muda bila kujua. Najua unaona ni vigumu kumuacha huyo manzi but nikishauri usimuache Kwanza wewe endelea naye tu huku tafuta demu mwingine . For sure huyo utamdump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu ilishanitokea lakin mi nlikua upande wa pili(namegewa tunda langu) dah iliniuma sana ila namshukuru Mungu nlifanikiwa kumuacha baada ya kuujua ukweli.... walianza kama marafik mwsho wa siku urafiki ukafikia kuvuana vyupi na jamaa akapenda ad akashindwa kujizuia akantafuta na kunieleza ukweli na picha alizompga alinitumia, inauma sana kujua mtu unaempenda anamkatia mauno mwanaume mwingine, binti hakuwa tayari kuachana nami na alimkanya jamaa asijefanya chochote kunijuza la sivyo atopata kitu na hatimae baada ya mimi kujua, jamaa kaachwa kwa kuvunja ahad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom