Ikikutokea hii utafanya nini? Na kama imekutokea ulifanya nini?

successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,078
6,123
Nilimtokea binti mmoja mzuri, akaniambia ana jamaa(Mpenzi) yake japo huyo jamaa alikua mbali kwa wakati huo. Nikakomaa nae akakubali kwa sharti kwamba hataachana na mpenzi wake huyo. Basi mtoto mzuri akaanza kunipa tunda. Mzee mzima nikanogewa, nikazama penzini, wakati mwanzo nilijiambia kuwa nitakula then nitasepa maana ana mtu wake kwahiyo ni hatari kwa afya kumuweka moyoni.

Ukapita muda miezi mingi tukiwa kwenye mahusiano. Umefika wakati nimejikuta nampenda na nashindwa kuukataa ukweli huu. Na sasa nataka awe wangu peke yangu, aachane na huyo jamaa mwingine. Maana siku hizi najikuta naumia anaponiambia yupo na jamaa yake kwahiyo nisimtext au kumpigia simu. Nakua najua kabisa kwamba saa hii mtoto mzuri analiwa, daaah!!

Nikaona hii hali siwezi kuishi nayo, nikaamua aidha nimteme aendelee na huyo jamaa yake au amteme huyo jamaa abaki na mimi, yaani niwe nakula mzigo peke yangu. Demu akakataa vyote, yaani hataki kuachana na mimi wala huyo jamaa, anasema hawezi kumwacha maana hana kosa lolote, kwahiyo hajui atamwambia nini ili amuelewe, kwahiyo nisubiri itokee sababu yoyote tu ili apate kisingizio cha kumtema.

Sasa hapa nasubiri, sijui ni mpaka lini. Nataka nile peke yangu, nimeingiwa na uchoyo.

Side niggas mpo??
 
Unapomtongoza mwanamke akakuweka wazi kuwa ana mume basi unaamua jambo moja tu kati ya haya

Aidha ukomae nae japo na ww uuloweke unenge wako pale bila kuleta bughudha au,

Unaachana nae kisha unatafuta mwanamke wa kwako peke yako ili usiwe unaumizwa na hiyo hali ya kujua kabisa kwamba fulani sasa hivi kavuliwa kyupi kapanua miguu ankazwa na jamaa yake.
 
Unapomtongoza mwanamke akakuweka wazi kuwa ana mume basi unaamua jambo moja tu kati ya haya

Aidha ukomae nae japo na ww uuloweke unenge wako pale bila kuleta bughudha au,

Unaachana nae kisha unatafuta mwanamke wa kwako peke yako ili usiwe unaumizwa na hiyo hali ya kujua kabisa kwamba fulani sasa hivi kavuliwa kyupi kapanua miguu ankazwa na jamaa yake.
Duh! Noma ni pale unajikuta umenogewa
 
Mkuu, namjua how you feel.. Nimepita kwenye Kipindi kama chako.

Tena demu alikua ni demu wa mshikaji wangu wa kufa nikufe.. Blood kabisa.. Ila demu akanipa tunda.. Tukalibanjua siku, miezi, mpaka miezi Sita ikafika.

Akarudi kwa msela. Najua unavyofeel Maana mimi nimewahi kuwa sehemu kama ulipo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom