Ikikutokea hii utafanya nini? Na kama imekutokea ulifanya nini?

Mkuu we endelea kumla ila ,acha hzo mambo za kudai et umemuelewa, huko n kujilemaza mwenyewe ,yan akili yako hujaitumia vyema ,unaendeshwa na hisia zaidi ambazo kimsingi hazidumu,stay strong mzee baba,me mademu km hao nawapenda kichz coz nakua najipigia tuu bila kuingiza hisia

From profile picture to proper future
Poa poa chief
 
Mkuu mm nikipiga sound hua napewaga hizo sababu ila tukishaanza sijui hao jamaa wanafia wapi maana hawatajwi tena🤣

Ila kwa situation kama yako ipo kishujaa zaidi yaani unajua kabisa ila huachi ni vyema ukamjua na huyo jamaa kabisa ili utathmini level ya heshima yake
 
Endelea endelea tu mkuu, mda utakuambia tu kua sasa basi, hata limoyo lako nalo litachoka kwa maumivu ya wivu hivyo utaamua kumpotezea tu.
 
Back
Top Bottom