Ikifika bajeti ya habari CHADEMA washeni moto tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikifika bajeti ya habari CHADEMA washeni moto tena!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Jul 6, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,259
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  KUSEMA NI KUSEMA HATA KAMA HAWATATEKELEZA KWA UKAMILIFU WOGA UTAKUWEPO NA , TUTAWAHUKUMU KWA HANSARD..

  NATOA RAI TUKIFIKIA WAKATI WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI BASI TUULIZE NI KWANINI MAGAZETI YA SEREKALI KAMA VILE DAILY NEWS BNA HABARI LEO YANAFANYA KAZI ZA SIASA?

  NA JE WAANDISHI AMBAO WAMEANDIKA HABARI ZINAZOSHABIKIA CCM NA KUUGANDAMIZA UPINZANI WANACHUKULIWA HATUA GANI?

  eg..kuna mtu mmoja aliandika kuwa Dr W SLaa will never become the 5th president of Tanzania!

  naomba kuwasilisha!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  na polisi kwanini wanakishabikia ccm?usalama wa taifa,takukukukukuru,jwtz,mahakama na bunge?
  navyo ni vya kuhojiwa zikifika bajeti zao.
   
Loading...