Ikibidi ni kuhack blog zote za udaku tanzania

ray57

Senior Member
Oct 29, 2013
102
44
wb1.jpg NIna Hasira na Mablog yanayoposti UDAKU!! HII INAKUHUSU #BLOGGER
Kujua Kutengeneza Vi Blog Vyenu na ViwebSite Uchwara MsitupeSHida.
Yani kila kukicha wanapost mambo ya ajabu ajabu tuu ambayo hayana hata msingi na mchango katika Jamii.

a)Taarifa Moja utakuta iko kwenye blog 59 na ya 60 ndio ime edit kichwa cha abali tuu zilizobaki zote Copy Past kama ilivyo. bila kuweka kamchango wako wa kimawazo kama blogger au kukubali kuwa ume--share kutoka mahala Gani.

b) HAbari za Majuma au miaka miwili kupostiwa leo kwa Kicha cha Habari kinachoonyesha wakati ULIOPO!! Kama umeishiwa na Habari kaa Kimya na Jipange kisha uwe mbunifu wa kazi yako. PICHA zilizopita na Matukio Ya nyuma kwa LUGHA YA SASA. NIMECHOKA #BLOGGER Nyanyuka na Kaa chini Kufikilia Zaidi

c) Habari Chafu na Zisizokuwa na Msaada wowote katika Maisha tuliyonayo sasa!1 Hivi ni kweli Taarifa Za kupost Kwa jamii zimeisha? Kila kukicha WASANII/MAPENZI na MAuchafu uchafu hadi NAona si vyema kutaja Hapa Ndani. Wangapi wanakufa na kupotea Katika Madawa ya kulevya na magonjwa Hatari Hapa Tanzania. Hivi huu umaskini tulionao Tanzania Tunashindwa hata kuuzungumzia ili Kupata changamoto ya Kupam,bana Nao.

#CODE_NAME_ALPHA_TECH
To all Bloggers

TO ALL HACKERS LETS MAKE A CHANGE TO STOP THIS IF THEY CAN'T CONTROL THEM SELF
 
View attachment 120386NIna Hasira na Mablog yanayoposti UDAKU!! HII INAKUHUSU #BLOGGER

mkuu hapo umenena,kuna mablogger wengine viazi kweli,unakuta mtu anapost habari "picha za utupu za mwanafunzi wa udom"....ingia hapa kuziona..sasa unabaki ukishangaa,ukishaziona ndo iweje?ndo zina msaada gani kwa jamii?kwa hiyo uchi siku hizi ndo umekuwa habari?yaani hawa mablogger uchwara wanaonesha umbumbumbu wao wa hali ya juu.wanafikiria kwa kutumia masab*ri.hawatumii akili kabisa.
 
Kusema kweli Nimechoshwa na Utumbo wanaofanya tena Wengine wanaona umaarufu kuwachafua wenzao katika mitandao ya kijamii kwa blog zao ambazo hazina hata umuhimu katika jamii. Kiukweli inabidi zishushwe Chini!! Its Time kufanya Mabadiliko katika Teknologia ya sasa.
 
unafkiri hata hao blogger wanajua wanapata watu wangap? wao wanacopy na kupaste tu
Hakuna mwenye muda wa kupoteza chief-mkwawa .
Lazima wanajua watu wanawatembelea aidha kwa blogger stats au some other feedback.
Trust me, kama hakuna visitors hakuna blogger ataendelea na upuuzi wake.
Atabadili mwelekeo au kufunga kablog kake. Tatizo Watanzania wengi ni wadaku!
Kama Watanzania wengi wasingekuwa wadaku nani ananunua magazeti ya GPL?
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana Na Wewe mkuu Dawa ni Kuzishusha Kama Mvua Ndio Watakuwa Creative
 
Hili ndio balaa la free service unafikiri ingekuwa kufungua blog unalipia wangethubutu kuandika pumba?...ni hayo 2..
 
ndo mana mimi nipo ktk mgomo usio na kikomo kuingia ktk blogs.sana sana huwa naishia kusoma link wanazo share fb.
 
Mtazuia vipi trafic kwenye blog ya mtu mwingine? mkumbuke hakuna source moja ya trafic. Na kama mnaona wanakosea basi muwaache waendelee kulala na nyie mtake-advantage hapo. Be the change that you want to see in the world. Sijaona hata siku hapa watu mkileta thread za kuelimisha bloggers wafanye nini na nini ili wafikie malengo yao ila tu badala yake mnakuja kutaka kuhack tu blog zao!!! acheni hizo bana hata mbuyu ulianza kama mchicha leteni elimu siyo majungu.
 
kwanza kuhack tovuti ya mtu ni kosa kisheria. pili unaingilia uhuru wake wa kujiexpress. ukiona watu wanaandika pumba we anzisha yako andika point utapata tu wateja. magazeti yapo mwananchi. rai. nipashe n.k na ya udaku yapo... mteja ndo atajlchagua anataka nini....

kuhack kutokana na mtazamo wako binafsi mi nadhani sio jambo sahihi....

dunia sasa ivi ni soko huria... watu wanatajirika kwa pumba... blog kama rahatupu ina visitors weeengi mno (nmewahi kuona stats zake) tena wameweka warning kabla hujaingia ila still watu wanajaa....

kwanza mtu ambae blog yake imekuwa successiful anajua kubackup kwa iyo ukihack anaanzisha ingine ndani ya dakika chache iko hewani tena.

jambo la maana ni kuanzisha blog yako ambayo ina original content na utapata tu wateja
 
dunia sasa ivi ni soko huria... watu wanatajirika kwa pumba... blog kama rahatupu ina visitors weeengi mno (nmewahi kuona stats zake) tena wameweka warning kabla hujaingia ila still watu wanajaa....
  • ​Yap hili nalo neno.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom