Ikatokea waAfrika wote tukafutika kwenye uso wa dunia, nini kitatokea?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,044
40,703
Je, maisha ya wazungu yataboreka kama wanavyojinasibisha kwamba sisi ni mizigo na hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kula chakula cha misaada cha UNHCR na kuzaliana tu?
Hatushughulishi vichwa vyetu kuboresha maisha yetu either kwa kugundua teknolojia au ubunifu wa aina nyingine yeyote ile, tunachogundua sana sana ni style za kurogana ili mwingine asiendelee.

Na juhudi zao za kutumaliza naona zinashika kasi, pengine watafanikiwa, tusubiri, time will tell.
============================
Update:
 
nahisi tukifutika waafrika dunia itakuwa na mwanga mkali sana kwasababu ya rangi yetu sisi ndio tunaofifisha huo mwanga
 
Je, maisha ya wazungu yataboreka kama wanavyojinasibisha kwamba sisi ni mizigo na hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kula chakula cha misaada cha UNHCR na kuzaliana tu?
Hatushughulishi vichwa vyetu kuboresha maisha yetu either kwa kugundua teknolojia au ubunifu wa aina nyingine yeyote ile, tunachogundua sana sana ni style za kurogana ili mwingine asiendelee.

Na juhudi zao za kutumaliza naona zinashika kasi, pengine watafanikiwa, tusubiri, time will tell.
Hakuna lolote waafrika wanaloliweza zaidi ya kupiga kelele, kupenda muziki, kuoa wake wengi, kunywa pombe, ushirikina, kufanya ngono hovyo, kujifanya wanapenda sana ibada, wivu, ugomvi, na kulalamikia uongozi mbaya, lakini hawachukui hatua zozote za kuuondoa uongozi huo mbaya madarakani. (Watalalamika tu, na ikitokea nafasi ya kupiga kura watauchagua tena).
 
Je, maisha ya wazungu yataboreka kama wanavyojinasibisha kwamba sisi ni mizigo na hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kula chakula cha misaada cha UNHCR na kuzaliana tu?
Hatushughulishi vichwa vyetu kuboresha maisha yetu either kwa kugundua teknolojia au ubunifu wa aina nyingine yeyote ile, tunachogundua sana sana ni style za kurogana ili mwingine asiendelee.

Na juhudi zao za kutumaliza naona zinashika kasi, pengine watafanikiwa, tusubiri, time will tell.

Sisi waafrika tukifutika basi wazungu nao watafutika kwa kuuana kugombania Bara letu, kumbuka wamelundika silaha kali za maangamizi, wazungu kiasilia ni Walafi wa mali "materialists" ---- jinsi walivyotwangana katika vita kuu ya kwanza ya dunia kutokana na (scrambling fir Africa) ndivyo itakavyokuwa "scrambling for Africa" nyingine na hivyo watatupiana silaha za nyuklia. Wazungu ni wehu sana in this case.
 
Je, maisha ya wazungu yataboreka kama wanavyojinasibisha kwamba sisi ni mizigo na hatuna faida yoyote hapa duniani zaidi ya kula chakula cha misaada cha UNHCR na kuzaliana tu?
Hatushughulishi vichwa vyetu kuboresha maisha yetu either kwa kugundua teknolojia au ubunifu wa aina nyingine yeyote ile, tunachogundua sana sana ni style za kurogana ili mwingine asiendelee.

Na juhudi zao za kutumaliza naona zinashika kasi, pengine watafanikiwa, tusubiri, time will tell.
Wazungu watafurahi sannaaaaa ili warithi maliasili zetu.
 
Whitemens watakunywa wine smoothly with a lot of happiness /but laterly wars watapigana kuigombania AFRICA. ambayo itapelekea mwisho wa dunia aidha labda wakae wakae wagawane AFRICA na iwe hivyo hivyo AMEN,maana tumeshindwa kujiongoza, kwa njia ya HAKI,(mshika madaraka kazi yake ni kuumiza wengine)
 
wenzetu walishaona mbali kuhusu end of civilization,wamejipanga,
huku wakiendelea na research anga za juu sisi tuko busy kwanza na kutafuta mchawi ni nani?
civilization kubwa kama Mycenaean Greece ,egyptian,Roman Empire zilisha RIP,,but tumejifunza nini?
Mungu yupo atatusaidia..........
 
Zipo nyingi sana
Za kununua second hand products kutoka Ulaya au za kuomba omba misaada ya hali na mali kutoka Ulaya au ya kuomba ufadhili wa Masomo kutoka Ulaya.
ipi faida ya watu wanaojenga ukuta kuzuia wizi wa Tanzanite lakini mwisho wa siku Tanzanite inaonekana imetoka India ?
 
Back
Top Bottom