Ijumaa.

Hahaha! Ngoja aje akusikie utakoma...

Ujue husband kapotea home siku ya 4 leo, hujanionea huko kwenye vilabu vyenu?

Nilimuona jana yuko na yule mama mmiliki wa kilabu wakiondoka nkajua anarudi...lol
Kumbe hajarudi??
 
Back
Top Bottom