Ijumaa ya Fat-wah Mwanza; RC na RPC Si siku ya Kukaa Ofisini leo

Status
Not open for further replies.
Najua Mwislam wa ukweli hawezi kukubali kwamba bible na quran ni vitabu vyenye asili tofauti kwani,Kiasi waislam wanaamini kwamba biblia ni neno halisi la mungu ila limechakachuliwa,akikubali kwamba asili ya quran na biblia ni tofauti automatically atakuwa amesema quran haikutokana na MUNGU,hapo ndo penye utata,kama haikutoka kwa MUNGU imetoka kwa nani ? Hivyo waislam watakomaa na tafiti fake kuthibitisha kuwa aliye mpa ujumbe Mohamad ni yeye yule aliyempa MOSES,DANIEL,ISAYA,YESU et al.vinginevyo uislam na quran yake hauwezi kuwa na mshiko.maana Issa bin mariam atabaki issa bin mariam atakuwa hana uzito kwani hataitwa Yesu.
Ukisoma quran na biblia ukaamini kwamba vyote ni ujumbe toka asili moja,utakuwa unanishurutisha nikufulu kwamba mtoa ujumbe alikuwa ni kigeugeu au mlevi mimi SITAKI kufikishwa huko.HAIWEZEKANI HUKU ASEMA +VE na HUKU ASEME-VE kwa jambo lile lile. QURAN NA BIBLIA vina asili tofauti upende usipende.
Jamani huyu Influenza mwacheni, uelewa wake ni wa uzito wa maji ya kifuu. Ivi wee hujui kwanini vitabu karibu vyote duniani vinatolewa kwa version tofauti inayokuwa improved with time changes? Sasa jiulize ikiwa vitabu vya dini vitatoka katika version tofauti, ni kamati gani hiyo ya maprofesa watakaoketi na kutoa hiyo version mpya? then kasome ikiwa kuna mtume yoyote aliyekuja na kitabu kimoja chenye version tofautitofauti, badala yake utakuta version moja ya mtume fulani tena wale wateule tuu! hee, jama nyie hizi akili za kule ma-university huwa mnapeleka wapi mnapojadili baadhi ya mambo.
 
Kama huu ndo upeo wako, then sio kosa lao kumbe wanaochoma quran au bible, ivi hujiulizi kwanini waislamu hawaku-retariate kwakuchoma bible?
However, ili quran iwe na aya inayosema "yesu" si mwana wa mungu, ni lazima bible iwe na aya inayosema "yesu" ni mwana wa mungu; vivyohivyo ili yesu asilimishwe, ni lazima awe mkristo so swali langu ni wapi (aya ipi) inayosema "yesu" ni mkristo. Lete majibu bwana mnazareth usilete blablah na agument za kitoto.

Maswali yako yamejaa upuuzi. Na ni upuuzi unaotokana na kuitafsiri biblia katika mfumo wa Kuran. Yesu anapoagiza kubatiza kwa jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu huyo mwana ni nani? Hesabu za haraka lazima zikufikirishe uwaze kati ya Yesu na Muhamad aliyewaldanganya eti kuran imeteremshwa nani alianza kuwepo duniani. Na ilipita miaka mingapi baada ya aliyetangulia kuwepo duniani ndipo akaja mwingine? Na kwa hakika utaamini kuwa Yesu ndie aliyekuja Duniani mwanzoni kabisa na ikapita miaka mingi ndipo ukaja uzao wa Marehemu Muhammad. Kwa hali hiyo kulikuwa na wafuasi wa Kristo ambao ni wa kristo kabla haujaanzishwa ushetani unaoitwa Uislam
 
kosa la kuandamana bila kibali.
Wote walioandamana!

Mimi ni Mhindu, N'gombe kwangu ni sacred animal!
Je, niende Pale Pugu machinjioni nikawatembezee kichapo wale wanaochinja ng'ombe???

Duhu! Umenifikirisha kwa upya. Asante mkuu
 
Kama huu ndo upeo wako, then sio kosa lao kumbe wanaochoma quran au bible, ivi hujiulizi kwanini waislamu hawaku-retariate kwakuchoma bible?
However, ili quran iwe na aya inayosema "yesu" si mwana wa mungu, ni lazima bible iwe na aya inayosema "yesu" ni mwana wa mungu; vivyohivyo ili yesu asilimishwe, ni lazima awe mkristo so swali langu ni wapi (aya ipi) inayosema "yesu" ni mkristo. Lete majibu bwana mnazareth usilete blablah na agument za kitoto.

Sipendi mijadala yenye udini - ila hapa penye red pamenishangaza - Is that a question? Napata shida kati yako na H1N1 nani ana upeo mdogo. Unataka kuona imeandikwa Yesu ni Mkristo au Yesu ni Kristo. Wakristo ni wa-Kristo kwa sababu Yesu ni Kristo. Wabudha ni Wa-Budha kwa sababu ya "Buddha Shakyamuni".
 
Atakayechoma Qur'an atashughulikiwa hakuna mjadala hapo..ite unavyo weza kuita....lazima tulinde alama za dini yetu kwa viten

Amechoma Quran tunachoma kanisa, akichoma tena tunamchoma yeye na watoto wake period...

Kila moja akipata maumivu heshima itakuwepo...waislamu hawataanza kuchokoza mtu hii ndio kanuni yetu ok..

"KAZI UNAYO, TOFAUTISHA QURAN NA KITABU KILICHOANDIKWA QURAN, PIA TOFAUTISHA KUVUA VIATU KABLA YA KUINGIA SEHEMU TAKATIFU NA KUTUBU DHAMBI KABLA YA KUINGIA SEHEMU TAKATIFU"

Tuayaache hayo, kwangu mimi sikubaliani na aliyechoma kitabu cha mwenzie na pia simuungi mkono aliyelipiza kwa kuchoma nyumba ya wengine, tukienda hivyo hatufiki na tutashuhudia maafa makubwa, na ieleweke kwamba kutulia sio kwamba huwezi mapambano ni kutumia busara kuepusha shari ila ukichokozwa zaidi na wale wanaozani wewe huwezi kupambana ndipo panapotokea maafa.

Wakristu kwa Waislamu tuheshimiane na tuwachukue wahalifu na kuwapeleka kwenye mkono wa sheria.
 
Ghost Ryder shukrani kubwa kwa habari hizi, wito uliotolewa na kazi njema iliyofanywa na wahusika katika kuepusha matatizo zaidi kwa sasa. Moderators naomba thread hii ifungwe maana imeshafanya kazi yake na sasa taratibu inaanza kueguka kuwa uwanja wa wa malumbano ya kidini yasiyo na hoja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom