Ijumaa ya Fat-wah Mwanza; RC na RPC Si siku ya Kukaa Ofisini leo

Status
Not open for further replies.
Mimi bado nailaumu polisi.
Mara baada ya Quran kuchomwa moto waislamu walitoa taarifa polisi ila polisi waka'delay kushughulikia.
Hali imeanza kuwa mbaya ndio wanawakamata wahusika waliochoma Quran.
Ni sawa sawa na mtu uibiwe na mtu unayemfahamu kisha unatoa taarifa polisi still unamwona mwizi wako anadunda tuu mtaani.
 
sawa kabisa (100%).
Hoja inayofuatia hapa ni je kuchoma kanisa ili kulipiza kisasi kwa kuchoma quran tukufu, ni sawa?
Hata kama itakuwa ni sahihi, je hapakuwa na kitu mbadala cha kufanyika (kama kuwapeleka mbele ya mkono wa sheria)?
Je kama huyu amechoma quran na huyu akalipiza kwa kuchoma kanisa, ikiendelea hivyo mzunguko utaishia wapi?
Waliochoma quran walifanya kosa kwani kitabu hicho kama ulivyoeleza hakina kosa; pia waliochoma kanisa wamefanya kosa kwani jengo hilo lina hatia gani?
Kosa kubwa zaidi ni kwa walioshindwa kuchukua hatua haraka/mapema kwa waliochoma quran. Na hili ni tatizo kubwa la serikali hii - kuchelewa kuchukua au kutochukua hatua kwa maovu mengi ndani ya jamii yetu.
Mkuu mimi ningependa kurudi nyuma kabisa kabla hata ya hiyo Quran kuchomwa moto. Sidhani kama hilo kanisa waliamka tu na kuamua ah leo tuchome Quran. Mimi naona kama walikuwa wana retaliate tu! Tuwe wakweli ndugu zangu. Kuna dini inaona ina haki ya kukashifu , kufanya uchochezi wa kila aina nk. lakini yenyewe ikiguswa basi inakuwa shida sana. Hivi wale walichomewa makanisa Zanzibar walifanya nini? walichoma misikiti? Si walikwenda kwenye vyombo vya dola lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika!
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kabisa kwenye ibada za kiislam kukashifu dini za watu wengine...unaweza kukuta ibada nzima ni kukashifu tu.
Dar es salaam zipo sehemu nyingi za hadhara wanapokashifu dini za watu wengine. Hata ukipita pale mwenge kama unaelekea Nakiete pharmacy kuna muislam karibu kila siku yupo pale na kipaza sauti anakashifu dini za watu wengine. Huwa najiuliza hivi bila uvumilivu wetu sisi wakristu nchi hii ingekuwa wapi sasa hivi?
Hivi hii jeuri ya waislam kujiona na mamlaka ya kusema kitu chochote wameipata wapi? au ndiyo uhuru wenyewe wa kutoa maoni?
Haya mambo hayataisha mapema ...nadhani yataendelea sana mpaka tufikie hatua ya kuchinjana maana udini ni mtaji mkubwa sana wa serikali ya CCM kubaki madarakani!
 
This vicious cycle will never end mkuu kama umenisoma vizuri nimesema siendekezi ujinga huu wa kufanya maamuzi kwa kufuata unazi wa imani au ushabiki wa hisia za mtu (refer to my first post ya hii thread). Ni vema ifike mahali kuwe na uelewa kwamba nchi hii ni ya watu wa dini zote kama katiba inavyosema kuwa kila mmoja wetu ana uhuru wa kuabudu.

Our constitutional right of worship must be subjected to no intimidation, mockering, insulting. Hivyo mkristo atajisikiaje yesu kristo (A.S) akidhihakiwa na kukashifiwa? Muislamu atajisikiaje Mtume Muhammad (SAW) akidhihakiwa na kukashifiwa? Hivyo basi ndio maana kumeweka kitu kinaitwa religious tolerance.

Hao waliochoma kanisa sikubaliani na kitendo chao ila I can understand them (kwani they were intimidated, provoked and insulted) hasa mtu anapozidiwa na hasira hukosa weledi na maamuzi ya busara.

Navyoona mie wangelitafuta njia bora ya kuwakilisha malalamiko yao sehemu husika. Ila Tanzania sasa hivi sheria zimekuwa hazisimamiwi vizuri wala kuheshimiwa. Mtu anazini na mke wa mtu analipwa milioni 14 kama fidia amezee. Tena anayefanya hivyo ni mtunga sheria bungeni hivi anajua kosa la kuzini na mke wa mtu kisheria linabeba hukumu ya kifungo cha miaka kadhaa? Nani kati yenu anajua hilo uone jinsi sheria zinapindwa nchi hii. Watu wanatuhumiwa kufanya ufisadi but sheria haitekelezwi wakati ipo sheria ya uhujumu uchumi imekaa tu. In short Tanzania CCM wameharibu maadili mazuri ya ufuataji sheria yaliasisiwa na baba wa taifa ambaye hata yeye alivunja katiba kuruhusu Vatican kufungua ofisi nchini.

Hivyo basi Tanzania hatuna moral authority kusema tufuate sheria wakati sheria tunazitunga lakini kuzifuata inakuwa hadithi au kwamaana nyengine hatuzifuati. Navyoona mie haya masuala ya udini yanakoelekea serikali inabidi ichukue mkondo kuzitekeleza sheria walizonazo katika maboksi na mashelf yao.
 
Tunatakiwa kuwa rational kwenye hili turudi kwenye sheria za nchi

Kuchoma moto vitabu vya dini linatizamwaje na sheria? Linasimama kama uchokozi au?
 
Mkuu mimi ningependa kurudi nyuma kabisa kabla hata ya hiyo Quran kuchomwa moto. Sidhani kama hilo kanisa waliamka tu na kuamua ah leo tuchome Quran. Mimi naona kama walikuwa wana retaliate tu! Tuwe wakweli ndugu zangu. Kuna dini inaona ina haki ya kukashifu , kufanya uchochezi wa kila aina nk. lakini yenyewe ikiguswa basi inakuwa shida sana. Hivi wale walichomewa makanisa Zanzibar walifanya nini? walichoma misikiti? Si walikwenda kwenye vyombo vya dola lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika!
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kabisa kwenye ibada za kiislam kukashifu dini za watu wengine...unaweza kukuta ibada nzima ni kukashifu tu.
Dar es salaam zipo sehemu nyingi za hadhara wanapokashifu dini za watu wengine. Hata ukipita pale mwenge kama unaelekea Nakiete pharmacy kuna muislam karibu kila siku yupo pale na kipaza sauti anakashifu dini za watu wengine. Huwa najiuliza hivi bila uvumilivu wetu sisi wakristu nchi hii ingekuwa wapi sasa hivi?
Hivi hii jeuri ya waislam kujiona na mamlaka ya kusema kitu chochote wameipata wapi? au ndiyo uhuru wenyewe wa kutoa maoni?
Haya mambo hayataisha mapema ...nadhani yataendelea sana mpaka tufikie hatua ya kuchinjana maana udini ni mtaji mkubwa sana wa serikali ya CCM kubaki madarakani!

Hebu fafanua zaidi ndugu kukashifu kupi unakokusema wewe waislamu wameanzisha. Ikiwa ni ile mihadhara ya kujadiliana kuhusu dini mbili nafikiri rudia kesi ya kina Ponda na kwanini jaji alifutilia mbali kesi yao? Waislamu katika dini yao wanaona Yesu kristo (A.S) ni mwana wa maryam (that is their view) na wakristo wanaona Yesu Kristo ni mtoto wa mungu (that is their view). Ni sawa sawa na wakristo wasivyomkubali Mtume Muhammad (SAW) kuwa ni mtume (according to their view) wakati waislamu wanamuona ni mtume wao.

Tell me hapo wamekashifu kitu gani zaidi ya kuzungumzia opinions zao?
 
Mdondoaji I feel you.

Kila mtu anajichukulia maamuzi atakayo akikasirishwa. Na cha kusikitisha vyama vya siasa havikemei suala hilo kwa hiyo tusitarajie kumalizika anytime soon
 
Vita ya Panzi furaha kwa Kunguru, Kikwete lazima awe na Furaha hapo yeye ndio alioanzisha mambo ya udini. Kila akitoa hutuba anazungumzia udinoi sasa amechochea kuni kwenye moto. Lazima Watanzania tuwe na Hekima sio kila wanalolizungumza Wanasiasa tunalifuatisha

Tumefikishwa hapa kwa sababu serikali yetu haiongozi kwa kufuata utawala wa sheria. Kama ungekuwepo wale waliochoma biblia wangechukuliwa hatua mara moja na tusingefika hapo jambo lilipo sasa. Hotuba za JK na usimamizi wa sheria haviendani kabisa. Sasa hivi watu wanajichukulia sheria mkononi kwa kuchoshwa kuona haki haitendeki. Yale ya DC Igunga ni mfano halisi. Sishabikii kunyanyaswa kwa DC, lakini kama utawala wa sheria ungekuwepo, DC asingefanya aliyoyafanya maana angejua analindwa na sheria na sio matakwa ya kisiasa. Na km angefanya basi, CDM hawangekuwa na haja ya kumkamata (km walivyofanya) bali ni kuviarifu tu vyombo vya usalama na vingefanya kazi yake. Sote tunajua kuwa si mara moja CDM wamelalamika na kupuuzwa. Sasa hayo yaliyojitokeza (Mwanza na Igunga) ni madhara makubwa ya kukosa utawala wa sheria.
 
Umemaliza kilt kitu mengine tutakuwa tunapiga domio tukisubiri lunch time
 
Mdondoaji I feel you.

Kila mtu anajichukulia maamuzi atakayo akikasirishwa. Na cha kusikitisha vyama vya siasa havikemei suala hilo kwa hiyo tusitarajie kumalizika anytime soon

Mkuu,

Hawa fundamentalist wanatuharibia nchi yetu watu tusienjoy maisha kwa hisia zao za kidini. Vyama mkuu hakuna chama nchi hii ndio maana niliuliza kikowapi chama cha maliberali (Liberal Party). Liberalism ni kuwa free from any prejudice and intimidation provided you abide by the law. Kama wewe unaabudu ngombe haya, mbao haya , ukuta haya judaism sawa, Christianity haya, Islamic haya as long as tunaishi kwa amani na kufuata sheria. Vile vile uhuru wa watu kuzungumza their views and opinions na sio certain opinions zinaonekana sahihi lakini zengine zinaonekana sio sahihi.

Mfano juzi alisimama yule mama wa TAMWA anaitwa Mama Nkya akatoa kauli nzito sana kuhusu mashoga. Binafsi niliona amekosea kwani masuali yafuatayo yanamfuata je mashoga sio watu? Je wao sio watanzania? Je hawalipi kodi? Je don't they deserve to be protected and identified by the state. I do not support what they are doing but this is a society inabidi tuvumiliane na kuheshimiana na sio kulazimishana kufuata unachokiabudu wewe.
 
Wakristo tulieni, hamiwezi vurugu hata kidogo waombeni msamaha waislam haraka sana kabla hamjaanza kutumbuliwa kwenye baa zebu, shauriyenu.mpiganaji mmoja wa kiislam anaweza kutekete hata watu 200 kwenye baa moja.Nyinyi hamiyawezi hayo kwa mnavyo penda Dunia.
 
Hebu fafanua zaidi ndugu kukashifu kupi unakokusema wewe waislamu wameanzisha. Ikiwa ni ile mihadhara ya kujadiliana kuhusu dini mbili nafikiri rudia kesi ya kina Ponda na kwanini jaji alifutilia mbali kesi yao? Waislamu katika dini yao wanaona Yesu kristo (A.S) ni mwana wa maryam (that is their view) na wakristo wanaona Yesu Kristo ni mtoto wa mungu (that is their view). Ni sawa sawa na wakristo wasivyomkubali Mtume Muhammad (SAW) kuwa ni mtume (according to their view) wakati waislamu wanamuona ni mtume wao.

Tell me hapo wamekashifu kitu gani zaidi ya kuzungumzia opinions zao?

Our constitutional right of worship must be subjected to no intimidation, mockering, insulting. Hivyo mkristo atajisikiaje yesu kristo (A.S) akidhihakiwa na kukashifiwa? Muislamu atajisikiaje Mtume Muhammad (SAW) akidhihakiwa na kukashifiwa? Hivyo basi ndio maana kumeweka kitu kinaitwa religious tolerance.

mkuu mbona unaji contradict sana...! angalia ulichoandika kwenye post ya awali! Nani kakudanganya kama kwenye mihadhara wanazungumzia Yesu ni mtoto wa Mungu au Maryam tu ? Mbona wanakwenda mbali sana na kutukana dini za watu kuwa siyo halali na uchafu mwingine mwingi tu?Watu wamefikia hatua hata ya kuwacheka watu wanaokwenda kanisani kwenye ibada!
Nakubaliana na wewe jamaa wanazungumzia opinion zao lakini mkuu opinion si ndiyo hizo zinaweza kuwa insulting au mockery?
Nisaidie na hili la Zanzibar wakristu kuchomewa makanisa yao na kufanyiwa vitimbi kila kukicha..wewe unalionaje hili?
 
Ushauri wa bure: walioanza kuchoma Qurani waendelee kuzichoma wakimaliza waanze kuchoma misikiti! Walioanza kuchoma makanisa waendelee wakimaliza wachome biblia. Hayo yakikamilika basi tukae mezani tuzungumze

Napita tu.....labda nitarudi
 
Kama kila mmoja ataheshimu imani ya mwingine wala pasingekuwa na shida yoyote!
 
Wakristo tulieni, hamiwezi vurugu hata kidogo waombeni msamaha waislam haraka sana kabla hamjaanza kutumbuliwa kwenye baa zebu, shauriyenu.mpiganaji mmoja wa kiislam anaweza kutekete hata watu 200 kwenye baa moja.Nyinyi hamiyawezi hayo kwa mnavyo penda Dunia.

Haya ni mawazo ya kipuuzi kabisa yanayotakiwa kupuuzwa kabisa. Osama alikuwa na akili na mawazo kama haya yako. jiulize kasheshe aliyoianzisha imesababisha maisha ya waislamu wangapi duniani kupotea? Nina hakika takwimu haziwekwi wazi lakini ukibahatika kuzijua utashangaa na kusikitika sana. Baa zenyewe zinajazwa na waislamu majina tusamema je na hilo.
 
mkuu mbona unaji contradict sana...! angalia ulichoandika kwenye post ya awali! Nani kakudanganya kama kwenye mihadhara wanazungumzia Yesu ni mtoto wa Mungu au Maryam tu ? Mbona wanakwenda mbali sana na kutukana dini za watu kuwa siyo halali na uchafu mwingine mwingi tu?Watu wamefikia hatua hata ya kuwacheka watu wanaokwenda kanisani kwenye ibada!
Nakubaliana na wewe jamaa wanazungumzia opinion zao lakini mkuu opinion si ndiyo hizo zinaweza kuwa insulting au mockery?
Nisaidie na hili la Zanzibar wakristu kuchomewa makanisa yao na kufanyiwa vitimbi kila kukicha..wewe unalionaje hili?

Mkuu,

Kusema Yesu sio mwana mungu ni maandiko ya waislamu hakuna insult yeyote imefanyika hapo bali wameelezea view zao na msimamo wao. Sijaona sehemu nimejicontradict bali nimesema lazima kuwepo na religious tolerance kwenye jamii na waislamu waelewe wakristo kwao Yesu Kristo ni mwana wa mungu (according to their view) kama waislamu wanavyofahamu Yesu Kristo ni mwana wa maryam (According to their view).

Insult ni kama hivyo uliyosema kuwa kuna waislamu wanawacheka watu wanaokwenda kanisani binafsi kama kuna askari karibu waiteni waende kuwakamata kwani that is an insult or mockering. Waislamu na wakristo au wapagani wanahaki sawa ya kuabudu chochote katika nchi hii. Sio sawa kwa waislamu kuwacheka wakristo wanapoenda kanisani wala wakristo kuwacheka waislamu wanapoenda kutawadha na kusali na wala sio sawa waislamu na wakristo kuwacheka wapagani wanapofanya ibada yao.

Kuhusu kuchoma makanisa Zanzibar hilo ni kosa ila ni vema tujue chanzo chake nini na wahusika wanahitaji kukamatwa na kupelekwa jela natamani nijue chanzo chake. Ila mkuu lini nchi hii sheria ikasimamiwa. Mtu amezini na mke mtu anaendelea kudunda na mashahidi wako kibao na anajulikana je sheria yetu iko wapi hapo? Usiniulize swali unalijua jibu lake mkuu.
 
hizi nchi zitengane kila mtu aishi atakavyo.siyo wazanzibar wanakuja bara wanaweka vitega uchumi vyao tunauchuna sisi tukienda kuweka vitega uchumi vyetu wanachoma moto.hii hali ya zenji ikifika bara jua tanzania kwishney.quran wameichoma moto.kanisa limechomwa moto,msikiti utachomwa moto mchungaji atakatwa mapanga.kitakacho fuatia hata keis za hijabu zitaonekana za kitoto.natamani leo NATO waanzishe no fire zone TANZANIA.ndo tutaheshimiana.mia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom