Ijumaa Ndo hii.. Wapi Wadau?

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,438
4,149
Binafsi Najongea Kwa Mbowe Kuruka Majoka Dah kitambo sana sijaenda mitaa hiyo. Je ww uko wapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nipo uwanja wa fisi hapa, natikisa kopo langu la komoni;huku nikiburudishwa na Ndombolo!.
 
me uswazi hapa kuna kigodoro nashuhudia nyonga safi kabisaaa
 
Nyie watu hamlali? Au nyie ndo nimewaona mnawanga makaburi ya kinondoni jana usiku wa manane kisha mnasingizia mko ulinzi shirikishi? King'asti jibu hoja kwa niaba ya wenzio.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom