Binafsi Najongea Kwa Mbowe Kuruka Majoka Dah kitambo sana sijaenda mitaa hiyo. Je ww uko wapi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Naweka Shida Chini,natupa mikono juu.....
me uswazi hapa kuna kigodoro nashuhudia nyonga safi kabisaaa
naendelea kula mema ya nchi hapa kwenye hoteli.
Ntakuwa na nani wakati wewe uliniacha?
Natoka kwenye mkesha kanisani.