Ijumaa Kuu ya Pasaka nimeona jamaa wanatafuna nyama, tena 'mdudu'

Siyo kweli nimekaa sehemu zenye wakatoliki wengi ila sikuona mauzo ya nyama yakipungua kila ijumaa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wakatoliki nao siku hizi wanajiongeza,padri anasema msile nyama ijumaa kuu wanasema amen.Alaf baadae wanachanganya na zao.Kwanini kuingia migogoro napadri bana.
Wakisema hii ndo dini ya kweli zingine za uongo wanasema amen,baadae jioni hao kwa mitume na manabii.
 
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu, Ijumaa Kuu ya Pasaka ni mwiko /marufuku watu kula nyama kwani ni siku maalum ambayo Bwana wetu YESU Kristo aliteswa msalabani kwa dhambi zetu sisi wanadamu.

Ni ujinga fulani wa Yuda Eskalioti aliyerubuniwa na vipande vya sarafu (pesa).

Ijumaa Kuu ni siku ambayo Bwana Yesu alimwaga damu msalabani, na umauti ukamkuta.

Nyama hairuhusiwi kuliwa siku ya Ijumaa Kuu. Ni mwiko yaani.

Nimeshangaa sana nimeona jamaa wanakunywa beer , wanakula na minyama wamejaza kwenye masinia makubwa (mlima) kabisa bila haya. Na mbaya zaidi wanakula kitimoto yaani nguruwe. Ni hapa Moshi, Kilimanjaro.

Hiyo nguruwe ilikuwa imekaushwa vizuri sana , mikachumbari mingi sana, ndizi za kutosha na pilipili na kukata ile...

Tuache dharau mbele ya Mwenyezi Mungu. Haifai.

Anyway kila mtu ataubeba msalaba wake.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mkuu acha wivu ....hayo maandiko Matakatifu uliyaona wapi tatizo.lenu mmelaririshwa hizo Imani!
Mimi no Mlutheri sijawahi fundishwa hiyo kitu...acha kukurupuka😆😆
 
Hiyo marufuku ni nani kaiweka?

Kwenye Biblia ni sehemu gani ya Biblia inasema siku ya kuteswa na kufa kwa BWANA wetu YESU KRISTO tusile nyama?

Asubuhi nilikula supu ya kuku, mchana ugali mbuzi na usiku huu ntapiga kitimoto.

Biblia imekataza kula damu tu, kisusio
Hamna sehemu kwenye Biblia imetaja jina Ijumaa Kuu wala hamna mstari wowote unaosema tusile nyama siku ya sikukuu ya Ijumaa Kuu.
 
Mkuu acha wivu ....hayo maandiko Matakatifu uliyaona wapi tatizo.lenu mmelaririshwa hizo Imani!
Mimi no Mlutheri sijawahi fundishwa hiyo kitu...acha kukurupuka
Makuluga: Wewe unajielewa. Hakuna maandiko yoyote. Hii ishu ni mapokeo kutoka Vatikan wala haiko kwenye biblia.
 
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu, Ijumaa Kuu ya Pasaka ni mwiko /marufuku watu kula nyama kwani ni siku maalum ambayo Bwana wetu YESU Kristo aliteswa msalabani kwa dhambi zetu sisi wanadamu.

Ni ujinga fulani wa Yuda Eskalioti aliyerubuniwa na vipande vya sarafu (pesa).

Ijumaa Kuu ni siku ambayo Bwana Yesu alimwaga damu msalabani, na umauti ukamkuta.

Nyama hairuhusiwi kuliwa siku ya Ijumaa Kuu. Ni mwiko yaani.

Nimeshangaa sana nimeona jamaa wanakunywa beer , wanakula na minyama wamejaza kwenye masinia makubwa (mlima) kabisa bila haya. Na mbaya zaidi wanakula kitimoto yaani nguruwe. Ni hapa Moshi, Kilimanjaro.

Hiyo nguruwe ilikuwa imekaushwa vizuri sana , mikachumbari mingi sana, ndizi za kutosha na pilipili na kukata ile...

Tuache dharau mbele ya Mwenyezi Mungu. Haifai.

Anyway kila mtu ataubeba msalaba wake.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu ya maandiko, taja andiko hilo.
 
Kifungu gani kwenye bible kimeyasema hayo?
 
Ebu leta ushahid wa kimaandiko unaosema usile nyama siku ya ijumaa kuu.

Kuna mambo tumeyafanya kama tamaduni zetu tu wanadam lakin ukwel hakuna sehem biblia inayataja
Hapa ndio andiko la "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" linatumia ,watu hawafati maandiko wanafata maneno ya mitaani tu
 
Back
Top Bottom