Ijue tofauti: Account degree + CPA v/s non-account degree + CPA

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Hello members poleni na majukumu, Leo nilitaka niweke wazi sintofahamu ya utofauti kati ya mtu mwenye degree ya account + cpa na yule mwenye degree isiyo ya account lakini ana cpa.

Utofauti mkubwa kwenye hii ishu ni kwamba mtu mwenye account ya degree + cpa anaweza kuwa Muhasibu, Loan officer , Finance officer, accounts lecturer n.k lakini mtu mwenye degree isiyo ya account lakini ana cpa kazi zake zita major loan officer, finance officer, Accounts lecturer n.k isipokuwa tu proffesionally hataweza kuapply kazi ya uhasibu.

Ushahidi upo kwenye kazi nyingi za kuapply pale anapohtajika muhasibu huwa wanaweka wazi" The applicant should have a degree majoring in accounting plus a cpa proffessiona qualification", Ukija kwenye loan officers, finance officers n.k huwa hawabani kwamba mtu anayeapply lazima awe na degree ya accounts.

I.E: THIS DOES NOT APPLY KAMA KAZI ZINATOLEWA KINDUGU / KWA KUJUANA
 
Helpful information. Vipi na kuhusu professional ya PSPTB kwa aliye soma degree ya procurement na kwa alie soma degree nyngine kama BA, Logistics, HR na course nyingine za business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Loan oficer wa microfinance sijui CPA wanaitaka ya nini sasa.wanataka kuzi missuse taaluma za watu

Hello members poleni na majukumu, Leo nilitaka niweke wazi sintofahamu ya utofauti kati ya mtu mwenye degree ya account + cpa na yule mwenye degree isiyo ya account lakini ana cpa.

Utofauti mkubwa kwenye hii ishu ni kwamba mtu mwenye account ya degree + cpa anaweza kuwa Muhasibu, Loan officer , Finance officer, accounts lecturer n.k lakini mtu mwenye degree isiyo ya account lakini ana cpa kazi zake zita major loan officer, finance officer, Accounts lecturer n.k isipokuwa tu proffesionally hataweza kuapply kazi ya ihasibu.

Ushahidi upo kwenye kazi nyingi za kuapply pale anapohtajika muhasibu huwa wanaweka wazi" The applicant should have a degree majoring in accounting plus a cpa proffessiona qualification", Ukija kwenye loan officers, finance officers n.k huwa hawabani kwamba mtu anayeapply lazima awe na degree ya accounts.

I.E: THIS DOES NOT APPLY KAMA KAZI ZINATOLEWA KINDUGU / KWA KUJUANA
n
 
Kwa Loan oficer wa microfinance sijui CPA wanaitaka ya nini sasa.wanataka kuzi missuse taaluma za watu

n
100% ni ujinga.Tatizo NBAA nayo imelala sana basi tu.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom