Ijue ‘ thamani ‘ ya ‘ PhD ‘ ya Ulaya ya Waziri Mwakyembe

Akizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.

Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..

Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.

Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.

Nawasilisha.
Je wewe kama unavyotaka tukuelewe!
Nini maoni yako mbadala kuhusiana na hii big fail ya Serengeti boys!
Nini way gorward vision yako kuhusiana na hili?

Umedharau usomi wa nwakyembe,je weka basi usomi mbadala wako humu tukupime na kukulinganisha na uliyemdharau?

Wajinga wenzio wameendeleza utamaduni vijembe humu kwa mistari miwili miwili.

Je ni lini wapinzani wa kibangi bangi wa bongo mtaanza kutuonyesha wananchi maoni ya njia mbadala,kwa yale mnayoyapinga au kutokubaliana nayo katika mustakabali mzima wa kuliletea maendeleo taifa letu.?

Nyinyi kazi yenu imebadilika na kuwa kejeli tu,mara rangi ya ndege,ooh mara korosho,ooh mara hili au lile!

Mara tunasimama na Assad...

Hivi hivi ndio vipaumbele pekee vya kujadili humu?
Nini creativity za wapinzani wa nchi hii?

Nyinyi mnataka short cut za kisiasa tu.
Mpige mahela,akitokea mzibaji basi woote wezi mnaungana.

Tumewaona wale kina mama wa THLC muwezeshaji kawaacha ghafla na wako kimya sasa.
Ndio siasa za kibongobongo hizi!

Wacheni bulldozer liwanyooshe
2025 we stand for JPM #
 
Akizungumza kwa ‘ Mikogo ‘ kama kawaida yake Bungeni leo alipokuwa akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Waziri mwenye dhamana na masuala ya Michezo nchini ‘ Msomi ‘ wa hali ya juu Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa sababu Kuu Tatu ambazo ndizo zimefanya Timu ya Taifa ya Vijana ya ‘ Serengeti Boys ‘ kufanya vibaya katika hii Michuano inayoendelea nchini.

Si vibaya tukizijua hizo sababu Kuu Tatu ( 3 ) za Waziri ‘ Msomi ‘ wa ‘ PhD ‘ Mwakyembe alizozitoa leo Bungeni…..

Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Mawakala wa akina El Haji Diof na Samuel Eto walianza Kuwarubuni na Kuwaahidi Mipesa Kibao.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa Wazazi wa hawa Wachezaji walishaanza Kuwakopa Watoto Wao Hela kwakuwa walishasikia kuwa Watoto Wao hao wanaenda kuwa Matajiri hivyo ikawaathiri Vijana Kisaikolojia.
Serengeti Boys imefanya vibaya kwakuwa kuna Watanzania wengine baada ya kusikia hawa Vijana wameahidiwa Pesa nyingi hao Watanzania walianza kuwaonea Wivu / Kijicho hawa Vijana hali ambayo ilianza kuwawekea Nuksi na wakaharibu kabisa.

Shikamoo sana Waziri Dkt. Mwakyembe.

Nawasilisha.
Samahani nje ya mada "hivi sakata la yale mabehewa mabovu liliishia wapi?"
 
Ameongea kifalsafa zaidi. Yale mambo ambayo yanampatia mtu uprofesa. Huo ni utafiti ukiotukuka na wa kina toka kwa dokta. Atuambie leo kwa nini Yanga bado wako pale dimbwini, na ndugu zao mwendo ukakasi
 
Back
Top Bottom