IJUE TABLE YA 11 KWA URAHISI MNO.

Wanafunzi wapo njiani wanakuja, tukiwasubiri, mbona Joseverest unaonekana kwa sura ingine? Au ni ukumbusho wa siku ya leo?
 
Ni kujumlisha namba zinazofuata na kubadili jibu. Namba ya kwanza inabaki ya kwanza na ya mwisho inabaki ya mwisho kama ilivyo
 
Ya kwanza ibaki ilivyo na ya mwisho. No za kati jumlisha mbilimbili kuanzia kushoto kwenda kulia. Condition : the no must be greater or equal to zero and less or equal to five
 
Back
Top Bottom