Ijue sheria na hukumu ya kuua bila kukusudia

Asante kwa somo.,, Adhabu za tofauti mbili za mauwaji ni zipi...???
 
Na wale wanaonyonga watu kule dodoma harafu wanapandishwa mahakamani na kuachiwa inakuwa ni kuua kwa aina gani
 
Kama yule mama niliemsikia kwenyew heka heka yule alikusudia,maana si kichapo kile kwa mtoto hadi mtoto akapoteza uhai,maana majiran wansema usiku kucha mtoto alikua anapokea kichapo toka kwa mama na mjomba wake.
 
je mazingira kama hayakuonekana na pia tukio walikua wawili tu. tutaamini vipi aliua bila kukusudia or alisababisha kifo bila kuwa na dhamiri ya kuua?
refer kesi ya lulu na kanumba.walikua wenyewe chumbani..
vipimo hosp vikaonyesha marehemu ubongo umeshuka nyuma..hii haiwez kutokea hivihivi bila kujigonga au kusukumwa ukutani kwa nguvu.
Nadhani uliyaskia maamuzi ya mahakama. Bila shaka aliua bila kukusudia
 
Back
Top Bottom