Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
Kwa nini Israel wameondoa lock down?Nadhani siyo kosa lake. Ni kosa la wanasayansi wetu kuwapatia uelewa wa kisayansi kwa lugha rahisi kuhusiana na kinachoendelea kwenye kupambana na janga kama hili la coronavirus kisayansi. Ninadhani kama atasoma thread hii ataachana na mhemuko huo wa kisiasa.
Bata ww