Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Pia nimeona Tareh yangu ya kuzaliwa Na Mwezi Hadi Herufi yang ya mwanzo ya jina vipo kwa usahihi kwenye nyota tajwa.....je kuna haja tena kutumia jina la mama kujua nyota yangu?
 
Vipi mkuu amekujibu private nini.
Kama kakujibu nipe mrejesho maana hii kama umenilenga yani
Rakims pita hapa tafadhari.
Hapana mkuu bado nasubiri, thread nzima nimepitia comment zote ila sijakutana na case kama hii..
Ngoja tuwe wavumilivu
 
naomba kujua tofauti kati yA AURA na Nyota...Na Pia je Nyota huwa zinazidiana Ubora...?
Nyota huwa zinazidiana ubora kisayansi hata kiswahili, kuhusu tofauti kati ya nyota na aura ni ndogo sana kwa maana aura ipo kisayansi ya roho na nyota ipo kisayansi ya unajimu maelezo ya aura mengi hubase kwa uchache kwenye nyota

Rakims
 
Pia nimeona Tareh yangu ya kuzaliwa Na Mwezi Hadi Herufi yang ya mwanzo ya jina vipo kwa usahihi kwenye nyota tajwa.....je kuna haja tena kutumia jina la mama kujua nyota yangu?
hapana kwa nafasi kubwa hiyo nyota yako huwa ndio ilipo na iliyochomoza wakati unazaliwa
 
rudia swali mkuu?
shukrani mkuu, niliuliza hivi..
Je mwanamume ambae ni nyota ya ng'ombe akiwa na mahusiano ya kiuchumba au ndoa na mwanamke amabaye ni nyota ya kaa lakini mkubwa kiumri kuzidi huyo mwanamume.
Je kuna faida au hasara zipi au vipi mahusiano yao yatakuaje.
Upande wa mafanikio yaani maisha yao kwa ujumla.

Swali lilikua hilo mkuu Samahani kwa usumbufu nahitaji kufaham.
 
mwanaume ana nyota ya mbuzi mwanamke mashuke vipi wakoje na watadumu!?
na unajuaje kua sayari yako ilikua wapi wakati unazaliwa!?

Rakims
 
Wapendwa, nahofia hapa imeshakuwa uwanja wa waumini wa imani ya unajimu. Hata hivyo napenda kushika bendera ya elimu. Anayeamini anaamini, amani iwe kwake, ila tu tunaambiwa mambo kadhaa ambayo si kweli. Hebu tuangalie:
IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika mojawapo ya nyota 12 zilizopo.
Nyota si elimu. Lugha hii inadanganya. Nyota ni kitu, yaani gimba kubwa sana lenye gesi ya joto. Kila nyota ni kubwa au kubwa zaidi kama Jua letu au kubwa zaidi, ila tu mbali sana hivyo inaonekana ndogo. (Soma: NYOTA)
Unachojadili wewe, mpendwa Rakims, ni "kundinyota" ambazo ni idadi ya nyota zinazoonekana zinakaa karibu angani. Hapa unaendelea kujadili kundinyota 12 za Zodiaki jinsi zilivyohesabiwa na Wababeli na baadaye na Waarabu waliopeleka imani hii Afrika ya Mashariki. Wazee Waswahili waliziita "Buruji za falaki".
Imani kuwa "nyota" au kundinyota maalum zina tabia au athira fulani ni potovu na haina msingi. Maana ziko mbali kupita kiasi. Nuru yao inatembea miaka mia au mielfu au zaidi hadi kufika hapa. Imani yako ni urithi wa dini ya Wababeli wa Kale walioamini miungu yao huonekana angani kama nyota.
Tena Kundinyota hizi (kama samaki, simba, yote) hali halisi haziko, si nyota za jirani. Kati yao kuna umbali mkubwa. Kama tunasafiri katika anga-nje hazionekani tena kama kundi tukiangalia kwa pembe tofauti.
Na ieleweke kuwa elimu ya nyota sio kwamba ni Imani ya dini fulani hapana isipokuwa ni maarifa kama ilivyo maarifa mengine kama physics au baiolojia
Imani yako huitwa UNAJIMU. Si sayansi. (sayansi angalia hapa). Sayansi ya nyota tunaita siku hizi astronomia, ambayo ilianza kama tawi la fizikia. Kama miaka 300 iliyopita, wanaastronomia walijaribu pia kutumia mbinu za unajimu wakiangalia nyota. Lakini baada ya kuboreka kwa darubini waliona mafundisho ya unajimu hayalingani na yale wanayoona na kupima. Unajimu na astronomia zimeachana. Moja sayansi, nyingine imani tu, mabaki ya dini za kale.
 
shukrani mkuu, niliuliza hivi..
Je mwanamume ambae ni nyota ya ng'ombe akiwa na mahusiano ya kiuchumba au ndoa na mwanamke amabaye ni nyota ya kaa lakini mkubwa kiumri kuzidi huyo mwanamume.
Je kuna faida au hasara zipi au vipi mahusiano yao yatakuaje.
Upande wa mafanikio yaani maisha yao kwa ujumla.

Swali lilikua hilo mkuu Samahani kwa usumbufu nahitaji kufaham.
Habari mkuu,hawa ni nyota mbili bora zitakazo endana kwa maana wote hupendelea zaidi maisha ya kifamilia nyumbani,upendo wa dhati,usikivu na utulivu, hapa maelewano yatakuwepo. maana ng'ombe huenda sana kipole na mwenzi wake lakini ng'ombe anahitaji umakini sana kuklaa na hisia za kaa maana kaa mara nyingi hujiingiza moja kwa moja kwenye mahusiano ya kindoa sasa akichezewa hisia na yoyote yule kinyota huwa haelewani nae tena na hapo kama ulikuwa umemzoea kama kaa wa nchi kavu basi ataingia majini moja kwa moja na huta mtoa tena.na pia kaa hupenda sana kutegemea kwa mwenza wake sasa kwa ng'ombe huwa ni mlezi mzuri zaidi na kaa humpa sana uhuru ng'ombe hii kumfanya ng'ombe kuzidisha zaidi mapenzi aliyonayo kwa kaa na kumkaribia zaidi na zaidi. ng'ombe ni muangalifu sana kipesa na matumizi ambapo pia kaa huwa na hali hiyo hiyo hawa huendana kwa mambo mengi sana bila kutakiana mipaka

Shukrani mkuu asante sana kwa muda wako.
 
Wapendwa, nahofia hapa imeshakuwa uwanja wa waumini wa imani ya unajimu. Hata hivyo napenda kushika bendera ya elimu. Anayeamini anaamini, amani iwe kwake, ila tu tunaambiwa mambo kadhaa ambayo si kweli. Hebu tuangalie:

Nyota si elimu. Lugha hii inadanganya. Nyota ni kitu, yaani gimba kubwa sana lenye gesi ya joto. Kila nyota ni kubwa au kubwa zaidi kama Jua letu au kubwa zaidi, ila tu mbali sana hivyo inaonekana ndogo. (Soma: NYOTA)
Unachojadili wewe, mpendwa Rakims, ni "kundinyota" ambazo ni idadi ya nyota zinazoonekana zinakaa karibu angani. Hapa unaendelea kujadili kundinyota 12 za Zodiaki jinsi zilivyohesabiwa na Wababeli na baadaye na Waarabu waliopeleka imani hii Afrika ya Mashariki. Wazee Waswahili waliziita "Buruji za falaki".
Imani kuwa "nyota" au kundinyota maalum zina tabia au athira fulani ni potovu na haina msingi. Maana ziko mbali kupita kiasi. Nuru yao inatembea miaka mia au mielfu au zaidi hadi kufika hapa. Imani yako ni urithi wa dini ya Wababeli wa Kale walioamini miungu yao huonekana angani kama nyota.
Tena Kundinyota hizi (kama samaki, simba, yote) hali halisi haziko, si nyota za jirani. Kati yao kuna umbali mkubwa. Kama tunasafiri katika anga-nje hazionekani tena kama kundi tukiangalia kwa pembe tofauti.

Imani yako huitwa UNAJIMU. Si sayansi. (sayansi angalia hapa). Sayansi ya nyota tunaita siku hizi astronomia, ambayo ilianza kama tawi la fizikia. Kama miaka 300 iliyopita, wanaastronomia walijaribu pia kutumia mbinu za unajimu wakiangalia nyota. Lakini baada ya kuboreka kwa darubini waliona mafundisho ya unajimu hayalingani na yale wanayoona na kupima. Unajimu na astronomia zimeachana. Moja sayansi, nyingine imani tu, mabaki ya dini za kale.
Hongera mkuu, isipokuwa ukweli ni huu. wewe unafuata wale wanaosema vijana kufaa kata k*ndu ni sahihi lakini sio vijana kuvaa mashuka ni kupitwa na wakati,
Sasa mimi naona heri nisivae kata k*ndu nivae shuka kila mtu na matumizi yake ya ubongo aliyoyachagua. lakini pia akili zako zimebase vizuri za kuwaambia watu leteni hizi dhahabu hazijachongwa vizuri chukueni goroli hizi ni bora zaidi kwa kuchezea bao.
Mbali na hapo pia hauna tofauti sana na wale wanaosema mtoto asichapwe shule maana unamtilia disturbance.
wewe kaa na sayansi yako ya mapicha picha na sisi tuache na elimu yetu ya kuungaunga kama unavyoiona kilichotofautiana hapa zaidi mimi naona hauna tofauti na wale wanaobishana PAA ni paa la nyumba au Paa kiumbe.

Ukishusha Quote nyingine baada ya hii wewe utakuwa hujielewi.
Halafu mmekalili sana P-r-Squared kuliko roho sasa usitake kila mtu ajue yale unayoyajua wewe, kila mtu ana elimu yake na source yake.

Rakims
 
Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom