Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

fogoh2

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,771
2,000
nadhani ni mambo ya kufikirika tu hakuna uhalisia wowote ndio mana kila nyota maelezo yake ni marefu na yanayofiti kwa kila mtu,yani ukisoma utaona tu inakuhusu
 

Private Joker III

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
2,099
2,000
habari mkuu,
njoo pm takupatia
Habari mkuu..nina swali nje ya mada.
inakuwaje kuna muda naona tukio fulani afu linakuja kutokea baadae au nafanya kitu unahisi umewahi fanya navyote vitakavyondelea unavikumbuka unakua kama unafanya marudio.
 

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,049
2,000
Habari mkuu..nina swali nje ya mada.
inakuwaje kuna muda naona tukio fulani afu linakuja kutokea baadae au nafanya kitu unahisi umewahi fanya navyote vitakavyondelea unavikumbuka unakua kama unafanya marudio.
Inategemea na roho yako ipo katika state gani muda huo chunguza record za kila siku na saa matukio hayo yanapokutokea utapata majibu mkuu

Rakims
 

Mseo

Member
Jul 20, 2020
5
20
Wewe unajua vipi kesho yangu kwa mwenye akili akisoma post zako hadi hapa atajua kweli wewe huna akili kwa maana unaapa kwenye hamna na pia niliwahi kukufundisha kitu kwa kuwa ni mbumbumbu mnafiki huelewi hutakuja kuelewa nilikwambia hivi in case umeona thread na imekukwaza kaanzishe thread ya kupinga vikali kwenye Majukwaa ya dini kule lakini hukuelewa sasa wewe ni mnafiki na ulikuwa mnafiki upo mnafiki na utaendelea kuwa mnafiki, maskini unatumia nguvu nyingi kuonyesha hisia zako za dini hali ya kuwa ni mbumbumbu umedai hapo juu kuwa anayejua ya ghaibu ni Mungu peke yake sasa mbona wewe unanibashilia upotovu? umepata wapi maarifa ya kujua hata kesho au dakika chache zijazo nitakuwa vipi, Punguza unafiki usio na mashiko
Pole Mkuu muwache na ufahamu wake potofu
 

Mseo

Member
Jul 20, 2020
5
20
Nimezaliwa 12/09/1991, sawia na siku ya Alhamisi. Nyota ya mwezi ni mashuke na ya siku ni mshale. Je zinakinzana mkuu?
 

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,934
2,000
Mbona kuna herufi za majina hazipo halafu Mbona hizo nyota znatofautiana na herufi za majna mfano unakuta wewe kutokana na tarehe uliozaliwa unaingia kwenye nyota ya samaki but herufi ya jina ipo kwenye nyota nyingine hebu elezea kidogo,
Basi ni heri kwako kutozijua pia, jambo lolote linalokupa wakati mgumu akilini ni heri kuachana nao, lakini fahamu ya kuwa sote ni roho na tunaishi kwa principle za roho.
 

Okwaaa

JF-Expert Member
Dec 3, 2020
1,279
2,000
Mimi kila nikifanya hayo mahesabu napata nyota mbili tofauti. Nmeshakata tamaa japo mpk sasa mm nishagundua ck yangu nzuri ni ijumaa na jmosi ni ck yangu ya mikosi😁 labda mtu anisaidie
 

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,049
2,000
Mbona kuna herufi za majina hazipo halafu Mbona hizo nyota znatofautiana na herufi za majna mfano unakuta wewe kutokana na tarehe uliozaliwa unaingia kwenye nyota ya samaki but herufi ya jina ipo kwenye nyota nyingine hebu elezea kidogo,
Kuna jinsi ya kuangalia na kuthibitisha ipi nyota yako ni sahihi majina wengine huwa nayo zaidi ya moja
 

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,049
2,000
Mimi kila nikifanya hayo mahesabu napata nyota mbili tofauti. Nmeshakata tamaa japo mpk sasa mm nishagundua ck yangu nzuri ni ijumaa na jmosi ni ck yangu ya mikosi labda mtu anisaidie
Toa details zako zote za kuzaliwa nitakwambia ni ipi nyota yako.
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,793
2,000
Hivi nyota za siku yako huwa zinakua na ukweli, yani kwa mfano nyota yangu inaweza ikaakisi jambo kwa siku hiyo mfano ikasema leo utakutana na mtu muhimu sana je huwa ni kweli nianze kufuatilia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom