Ijue maana ya neno Escrow

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,328
67,758
Umofia Kwenu wana JF,
Escrow ni neno ambalo limetoolewa kutoka lugha ya kifaransa,ni neno linalojitegemea halihusiani na tegeta wala PAP ni neno la kiingereza linalomaanisha "Fedha,mali,mkataba au dhamana ambayo anapewa mtu wa tatu kuitoa endapo muafaka ukifikia",tukija kwenye swala la Tegeta Escrow neno Tegeta ni Sehemu ambayo mitambo ya IPTL imefungwa,kwakua kulikuwa na mgogoro kati ya Tanesco na IPTL,wanasheria wakashauri ifunguliwe account ya Escrow ikaitwa Tegeta Escrow ambayo mtu wa tatu hapa ni BOT ana mamlaka ya kuitoa endapo muafaka(Tanesco vs iptl) ukipatikana.
 
too late damage ilishafanyika , kuna awtu humu walikua wanashupalia tu escrow ukute hata maana yake walikua hawaijui, mradi inatajwa escrow basi lazima na yeye aitaje
 
ngoja tafsiri yako nijaribu kuichakachua kwa kuongeza Rugemalila and Tibaijuka
 
sasa ww ndugu yang ni kwamb hutaki watu wajue au? na kam ni too late mbona hukuiintroduce mapema ili wa2 waijue?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom