fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,379
- 11,523
Tutakuwa tuna wambia mnademka sio waacheSpika na naibu wake watakuwa wanejisikiaje
Tutakuwa tuna wambia mnademka sio waacheSpika na naibu wake watakuwa wanejisikiaje
Watu wazalendo kweli wanavaa shanga zenye rangi ya bendera ya taifa
Ila ndio nzuri Gold sijawahi kuzielewa😀Sasa je? Tena zenye maneno "KAZI IENDELEE "
HahahaahaahaKinara wa kudemka ni yule spika mbovu mwenye faili mirembe. Sijui atafanya nn maana bunge limesemwa huko mijadara yake haina afya kwa Taifa. Navyolijua lile baba angekuwa mtu mwingine lingesema kesho aje akutane na kamati ya hadhi na madaraka ya bunge.
Ndiyo mataga mmesisitizwa muache kelele kugombea maiti jikiteni kwenye bajeti.Rais kasema yeye SSH na JPM ni kitu kimoja
Wademkaji sijui mnaelewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikama marehemu maana marehemu hana maana tena.Nadhani hii nyundo wamepigwa wale waliotaka kumtofautisha Samia na JPM au hukusikia anasema Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Najua hamuamini mlichokisikia leo
Rais hakujua Natakiwa kuwa kama mtotoJuzi Mama Samia akiwa katika kongamano la maombi huko Dodoma alisema mitandao ya kijamii inapiga ngoma na bunge linacheza ngoma hiyo tena kwa kudemka sana. Nini maana ya kudemka?
View attachment 1756770View attachment 1756770
Bora tupate misamiati kuliko vituko na vioja vya job na kundi lakeMpaka mama kuachai madaraka...misamiati mingi sana tutaielewa.
Itakuja mingi sana. Halafu wakati akisema hilo neno “kudemka”, body language ilinifurahisha sana. Huwa siachi kusukiliza hotuba zake.Mpaka mama kuachai madaraka...misamiati mingi sana tutaielewa.