Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,060
8,322
1. Nchi ya kiislam iko chini ya sultani, ukubwa km 5786sq ina watu 438,720 tu mpk Feb 2016

2. Free education, free health, ukioa tu unapewa na gari. Ni nchi mojawapo ambayo ina uwiwno mkubwa wa watu na magari (1:209)

3. Ukiwa Brunei marufuku kupoint kutumia kidole cha shahada kuonesha kitu. Kidole gumba ty hutumika kupoint kitu

4. Sultan Hassanal Bolkiah, ni wa 29 anamiliki magari zaid ya 5,000 ya kifahari;
20 Lamborghinis,
160 Porsches,
130 Rolls Royces,
360 Ferraris,
170 Jaguars,
180 BMWs,
360 Bentleys, and 530 Mercedes-Benzes.

5. 93% ya watu wote wameenda shule au wanasoma

6. Marufuku kuuza au kununua au kunywa pombe hadharani

7. Hakuna nguruwe hata 1 nchi nzima

8. Nchi pekee iliyo northern & southern Hemisphere

9. Mwaka mzima ni joto ikiwa na relative humidity ya 93% na mvua ni ya kutosha

10. Per capital income ni usd~39,970

11. Lazima kuvua viatu unapoingia nyumba yeyote ndani ya Brunei

12. Brunei ni nchi ambayo watu hawalipi kodi yeyote-tax free country

13. Sultani wa sasa bi ukoo uliotawala kwa miaka 600

#kwa_hisani_ya_google & personal visit
 
Mkuu hebu check hiyo ya northern and southern hemisphere (number 8). Hivi sio kweli kwamba mstari wa equator ndio unagawa south and northern hemisphere? Kama ni mstari wa equator then Uganda, Kenya, DRCongo na zingine kibao kama Brazil pia zipo northern and south hemisphere? Wanaojua tofauti watanisahihisha. Ahsante kwa other facts
 
Mkuu sasa wadudu wetu wale kimboka na Ohio watakuwepo kweli huko? Isije ikawa ukikamatwa tu na binti wanakuelekeza kibla
Wapo poa sana hawana mambo ya waarabu hao, na pia si waarabu. Watz wengi kila mwaka wanapata scholarship za kusoma huko. Wanatoa positive feedback juu ya mambo huko. Bado hata hivyo haijawa rasmi Jamhuri ya Kiislamu.
 
Mkuu hebu check hiyo ya northern and southern hemisphere (number 8). Hivi sio kweli kwamba mstari wa equator ndio unagawa south and northern hemisphere? Kama ni mstari wa equator then Uganda, Kenya, DRCongo na zingine kibao kama Brazil pia zipo northern and south hemisphere? Wanaojua tofauti watanisahihisha. Ahsante kwa other facts
Uko sahihi mkuu.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom