Historia ya Kabila la Wahaya

*MAMBO YA WANASHERIA
Baada ya kumaliza Degree yake ya Sheria, Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba Mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake, Alimwona dada mmoja mtanashati na mrembo anakuja ofisini kwake. Akajua ni mteja anamletea kesi .
Ndipo akanyanyua mkono wa simu ya TTCL na kuanza kuongea huku anajizungusha kwenye kiti cha kuzunguka.
Wakati dada alipokaribia. Rwegashora alimkaribisha kwa ishara maana alijifanya yupo busy na kuongea na simu muhimu.
Wakati anaongea na simu, Alisikika akisema *NO, NO, NO, ......Absolutely NO.*
Wajulishe hao lay persons wa New York kuwa siwezi kushughulikia kesi ambayo itanilipa chini ya Shillingi 50 Million.
Mimi ni Professional lawyer and I'm crossing the border to serve international community.
Akapozi kidogo na akanywa maji, Kisha akaendelea. .........
Naweza kuanza kukusanya Primary evidence next week . But tell them, Watume kwanza ten Million kwa kuanzia. .....
Hahahahaha
You don't know my Account Number, Mr. Roger? Ok.
Waambie Watume kwenye Account ile ile waliyonitumia Million 100 last month. .............
Akapozi tena akinywa maji na kurekebisha tai yake, Kisha akaendelea. ....
Ok,Usisahau kumueleza Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Marekani kuwa nitakuja New York mwezi ujao. Maana nitapitia kwanza Amsterdam kuwasilisha utetezi wa yule mteja wangu Mholanzi.
Kisha nitaenda Tokyo kulipia ile gari yangu niloagiza.
"Wakati anaongea hayo yote, Yule dada alikuwa ametulia na anamwangalia Bwana Rwegashora anavyojizungusha kwenye kiti chake na kujinasibu huku akiongea kwa tambo kwenye ile simu ya TTCL ."
Baada ya kumaliza kuongea na simu Bwana Rwegashora aliweka mkono wa simu ya TTCL chini. Kisha akamgeukia dada mrembo.
Samahani sana kwa kukupotezea muda wako, Unajua tena kazi zetu zinaumiza kichwa sana. Kama unavyoona mwenyewe Yaani nipo busy sana...!
Ninapokea simu nyingi sana mpaka nimechoka. Simu nyingi ni za wateja wa nje ya nchi.
Anyway nikusaidie nini?
Mdada akajibu:- Mimi ni mfanyakazi wa TTCL nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani tangu wiki iliyopita
Hahaha hahaha haha
Najua utatamani kuiona sura ya Bwana Rwegashora ilikuwaje.
Duh
# Wahaya Mungu Anawaona.
Noma sana!
 
Bila Unafiki Wachaga Wapo Juu Sana.
Nilifika Marangu Ambapo Ni Kijijini Kuna Hivi Vitu.
.
.
Lami Ya Kiwango Cha Mikoani Mpaka Vilabu Vya Pombe.

Bank Ya CRDB

Supermarket Pale =Mamba Kotela

Night Pub = The Babylon

Lodge Na Hotel Za Kisasa Za Kitalii = Nakara, Capricorn, Kilimanjaro Resort, Marangu Hotel, Royal Lodge, Five Star, Kibo Hotel , Babylon Lodge etc

Shule Za Maana = Ashira Girls, Uphill Land ( International School)

Makanisa Ya Kisasa = Roman, Anglican, Pentecostal, etc

Waterfall Za Maana = Kinukamori, Kindolo etc...

Mahekalu Na Mansion =
Mawalla, Mariale, Chrisburguer, Babylon, Nyange, Sawaya, Mongi, Maleko Wengine Nimesahau.

Masoko Makubwa = Mtoni, Kisambo.

PS : Haya Ni Baadhi Niliyoyaona Hapo Kijijini.
Kilimanjaro vijijin ndo kumejengwa kuliko mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom