Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''

Huu Uzi haukuegemea kidini lakini ghafla umeuchepusha why?

Kujuwa dini za watu si udini.

Pia kwenye mada, post namba moa tunaona kuwa "Kabla ya wakoloni kuja, Mukama alikuwa absolute ruler, kwa maana kwamba, neno lake lilikuwa ni sheria na ardhi yote ilikuwa ni mali yake.Kadhalika hata watu, mifugo na misitu vyote vilikuwa ni mali zake."

Ukisoa kipande hicho na ukitazama historia yetu inavyotuaminisha kuwa Waarabu ndiyo walukuja na biashara ya utumwa utaona kuwa hayo maandiko yanapinana na hilo unless sasa mtueleze kuwa "Mukama" alikuwa Mwarabu au ana (ustaarabu) "influence" yao.

Au ukitajwa tu Uislam au akitajwa Mwarabu ni udini kivyako?
 
Swala la mukama kuwa absolute rule sio yeye pekeake na karibia watawala wote africa nyakati zile walikua hivyo sio Mali tu hata mkeo wakimtaka Mwenye Mke hana jinsi inabidi umkabidhi kwa mtawala tena wakati mwingine ukishangilia kama zuzu,hivyo basi usijaribu kunasibisha ubabe huo na utumwa haya nimambo mawili tofauti,haipingiki biashara ya utumwa mhusika ni Mwarabu 100%
 
Kummiliki binaadamu mwenzio siyo utumwa? Kuweza kumwingilia kimaumbile mwanamke unaemmiliki siyo utumwa?

Kama yote hayo si utumwa, elewa kuwa shule uliyosoma ina matatizo makubwa sana.
 
Kasinge waitu, na hiyo ndo ilfanya waziba wajione bora kuliko wahaya wote hadi leo, deka tata......ebyo chei.....!!!!
 
Chachu Ombara,

Ningependelea kusikia historia ya Uislam Kagera.

Maana kuna majina umeyataja hapo niyajuavyo ni ya Kiislam, mfano hilo Emin Pasha na nnawafahamu akina Kaitaba ambao ni Waislam.

Isitoshe kuna watu wengi wa Kagera ambao ni Waislam, unaweza kutupa hayo kidogo?

Historia ya Uislam Kagera siijui na wala sijawahi kuifuatilia. Waislam Kagera ni wachache sana kama ilivyo mikoa ya Kilimanjaro,Mbeya,Iringa,Mara.

Labda kuna waislam maarufu kama wakina Suedi Kagasheiki, Ali Migeyo, , Abdallah Rutabanzibwa, Kaitaba.

Kuna mji wa Katoro uko Bukoba Vijijini, huko ndiko kuna waislam asilimia kubwa. Waislamu hao wana itikadi kali sana na kama sio mwislam basi kuishi mazingira ya hicho kijiji ni ngumu sana, kiufupi ni wabaguzi sana.

Kule wanafundisha Ilm Akhera na elimu dunia hawajaipa kipaumbele.
 
Usiwasahau akina Kichwabuta.

Hilo jina la Emin Pasha na Kaitaba na kusoa kuwa Mukama alikuwa anamiliki kila kitu (utumwa) kwenye post namba moja ndiyo yaliyonivuta niulize hayo.

Labda watatokea wajuzi wa historia ya Uislam Kagera watuchambulie.
 
Kujuwa dini za watu si udini.

Pia kwenye mada, post namba moa tunaona kuwa "Kabla ya wakoloni kuja, Mukama alikuwa absolute ruler, kwa maana kwamba, neno lake lilikuwa ni sheria na ardhi yote ilikuwa ni mali yake.Kadhalika hata watu, mifugo na misitu vyote vilikuwa ni mali zake."

Ukisoa kipande hicho na ukitazama historia yetu inavyotuaminisha kuwa Waarabu ndiyo walukuja na biashara ya utumwa utaona kuwa hayo maandiko yanapinana na hilo unless sasa mtueleze kuwa "Mukama" alikuwa Mwarabu au ana (ustaarabu) "influence" yao.

Au ukitajwa tu Uislam au akitajwa Mwarabu ni udini kivyako?
Tofautisha biashara ya utumwa na utumwa wenyewe, utumwa upo mpaka Leo baina yetu kuna watu sana watumwa wao.. Lililo na uhakika ni kwamba waarabu ndo walikuja na biashara ya utumwa na wanaendelea mpaka Leo.. Rejea matukio ya baadhi ya kina Dada wanaokwenda kufanya kazi za ndani uarabuni.. Pamoja na kuwa waajri wao ni watu wa kuswali mno lakini matendo yao ni ya kinyama sana kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu.. Tatizo ni pale unapotetea waarabu ukadhani unautetea uislam.. Hivyo ni vitu viwili tofauti yaani uarabu na uislam japo vinaendana
 
Waarabu hawakuja. Kumbuka hilo.

Waarabu Afrika ni kwao hata jina Afrika ni la Kiarabu, pengine hata jina Bukoba ni la Kiarabu.

Ukiwa mtumwa ni mtumwa tu, huwezi kutofautisha tena ni heri ya utumwa wa biashara kuliko utumwa wa kudhalilishwa utu, hususan ulioandikwa post namba moja, wa ngono. Hiyo ni sex slavery.
 
Usiwasahau akina Kichwabuta.

Hilo jina la Emin Pasha na Kaitaba na kusoa kuwa Mukama alikuwa anamiliki kila kitu (utumwa) kwenye post namba moja ndiyo yaliyonivuta niulize hayo.

Labda watatokea wajuzi wa historia ya Uislam Kagera watuchambulie.
Shukrani, kwa kunikumbusha tajiri Kichwabuta. Kichwabuta ni wahamiaji kutoka Kigoma miaka ile.

Tusubiri wahaya wengine wanaojua historia ya Uislam Kagera watanena, mimi naweza kuwaingiza chaka.
 
faiza foxy uislam wa bukoba unahusiana sana na biashara ya utumwa nasikia kulikuwj na slave caravan or route iliyokuwa ikipita bukoba,omurushaka,rulenge mpaka burudi kama ilivyo tinde kondoa na bagamoyo
 
Mwenye kanda za
  • Ija Tuoye
  • Kuna ile nyingine ina nyimbo za kumuaga Padri. Ninakumbuka kipande kidogo cha maneneo "twabonayo empefo, bati tuti mutwalile alyeo"
  • Na ile ya Blandina.
ani-PM ninazitafuta kuliko maelezo.
Ukiipata nami nitumie tafadhali
 
Si kweli.

Mzungu aliwakuta watu weupe wengine Afrika, sidhani kama na wao waliitwa wazungu.

Tuachane na hilo na tuendelee, jee, alkuwa nani huyo? Ni mzungu aliyesilimu au?
Naona sarakasi zako zote hapo ni kuona waarabu wanaenziwa
 
Chachu Ombara,

Ningependelea kusikia historia ya Uislam Kagera.

Maana kuna majina umeyataja hapo niyajuavyo ni ya Kiislam, mfano hilo Emin Pasha na nnawafahamu akina Kaitaba ambao ni Waislam.

Isitoshe kuna watu wengi wa Kagera ambao ni Waislam, unaweza kutupa hayo kidogo?
Waislamu wapo wachache sana hawafiki hata asilimia 10
 
Back
Top Bottom