Hahahaha, naacha kuwa busy
Aah nimekuvulia kofia weeh chiboko yani unanikumbusha enzi za vitabu vya Willy Gamba yani kama nasoma kikosi cha kisasi hivi au Njama vile👏👏👏👊👊🔝💯🤝HABARI WATU WANGU WA NGUVU, LEO NIMERUDI KATIKA MAJUKUMU, NILITOKA NJE YA MJI KIDOGO SIKUBEBA KIPAKATO CHA KUSAIDIA KUTYPE,, BAADAE TUTAENDELEA NA HISTORIA YETU
SEHEMU YA KUMI
Hoja muhimu za Rais Ahmadinejad zilielekezwa kwa utawala wa G.W Bush kwamba
Hawaheshimu faragha ya wamarekani kwa kudukua mawasiliano yao ya simu
Wamewaathiri wamarekani kisaikolojia kujihisi hawapo salama ili kuhalalisha vitendo vyao haramu vya kivita sehemu mbali mbali duniani
Akahohoji pia utengenezaji wa silaha za maangamizi kwa kutumia nyuklia, kemikali na virusi vya kibaolojia, Hayo ni matumizi mabaya ya kiteknolojia,
Je vimeundwa kwa ajili ya usalama duniani ?
Kuhusu unyanyasaji wa wanawake Ahmadinejad akasema kwamba asilimia 50 ya wapigakura wao ni wanawake na wana makamu wawili wa rais ambao ni wanawake.
Pia hawana wapenzi wa jinsia moja kama marekani , “Iran hatuna hata huo msemo wa wapenzi wa jinsia moja sijui ni nani amewaambia jambo hilo” hapo akaamsha vicheko kutoka kwa wazungumzaji.
Ahmabinejad alikana kuhusika na kusaidia vikundi vya kigaidi na akaongeza kuwa hata tukio la September eleven ana mashaka nalo , kwa yeye anavyolitambua ni kwamba
“Jengo lilianguka” , akaongezea “Hata idadi ya waliokufa haikutangazwa, majina ya wahanga hayakutangazwa na lile shambulio lilitumika kama kisingizio cha kuvamia Afghanistan na Iraq”.
Zaidi ya hayo alielezea furaha yake juu ya kudorora kwa uchumi duniani akisema kuwa ni anguko la mabeberu , magharibi inasukumwa katika mwisho wake hivyo kwa Iran hiyo ni furaha kuona uchumi wa mabeberu unaisha.
Mwaka huo huo Mwezi mmoja uliopita pia alizungumza kwenye baraza la UN na kusema kwamba Utawala wa Marekani unafikia tamati hivyo viongozi wanaofuata waache kuingilia mataifa mengine na kuweka jitihada katika mambo yao ya ndani pekee.
Uchochezi, Jeuri ya kiongozi yoyote huwa inatokana na nguvu zake kijeshi na kubwa Zaidi ni Imani ya wananchi walionayo kwake , ndio maana unaweza kujionea tangu enzi hizo njia iliyonyepesi kuidhoofisha nchi ni kusababisha machafuko ya ndani , kwenye hiyo hotuba tunaweza kujionea Rais wa Iran akijitahidi kuonyesha upendo kwa wamarekani lakini wakati huo huo akiitupia lawama serikali ya Bush.
Vivyo hivyo kwa viongozi wa marekani walijitahidi kuonyesha dunia namna serikali ya Iran inavyowanyima haki wananchi wake, Hapa msomaji hautashangaa tweet ya trump juu ya kinachoendelea ndani ya Iran sasa hivi, watu wanapingana na serikali na kushinikiza viongozi wajiuzulu, hili swala linafanywa kwa ustadi wa hali ya juu na usalama wa taifa kama CIA.
Ngoja tuendelee na historia tusijikite na haya ya leo maana ni swala la muda tu , tutayafikia.
Tukiwa bado kwenye uongozi wa George W Bush hebu tuangalie hofu ya Iran kushambuliwa na marekani, mwaka 2003 Bunge la Congress marekani lilipitisha bajeti ya dola za kimarekani milioni 10 zikitaka rais azitumie katika kusaidia makundi yanayodai demokrasia nchini Iran,
makundi hayo yalikuwa yakipingana na serikali ya Iran, swala hili lilitafsiriwa na wakosoaji kama ni hatua ya kwanza ya Marekani kuvamia Iran.
Hofu ya Iran ikapelekea kuomba mazungumzo na marekani ili kukuza uhusiano wao.
Kabla hatujafika mbali Zaidi nadhani katika maneno ambalo tunayasikia sana kwenye vyombo vya habari vikizungumzia masuala ya Amani mashariki ya kati ni Kurd au wanamgambo wa kikurd.
Hili ni kabila huko Iran amboao ni wenyeji wa eneo la milima ya magharibi Asia linaloitwa Kurdistan, kabila hilo limeenea hadi kusini mwa uturuki, kaskazini magharibi ya Iran, Kaskazini ya Iraq na Syria.
Wakurdi wana chama chao kinachoitwa Kurdistan Free Life Party kwa kifupi PJAK (katika lugha ya kukurdi Partiya Jiyana Azad a Kurdastine) hiki kinajumuisha kikundi chao cha kijeshi cha mlengo wa kushoto , wanaopingana na serikali ya Iran, tangu mwaka 2004 wanapigana na serikali ya Iran kutaka jimbo lao la Kurdistan lijitawale.
Mwezi wa tatu mwaka 2006 wakurdi waliwauwa askari 24 wa Iran kupitia PJAK, ambacho kwa kipindi hicho kilikuwa kikisaidiwa na serikali ya marekani.
Iran imekuwa ikiishutumiwa na marekani kwa kuvipa silaha vikundi vya waasi vya Iraq (ikiwemo AL-QUEDA).
Kupitia ndege zisizo na rubani zinazorushwa na marekani juu ya anga la Iran , wamebaini uwepo wa kambi zinazofunza waasi wa Iraq karibu na mji mkuu wa Iran Tehran, waasi hao wamekuwa wakifundishwa mbinu za vita vya msituni, utekaji na mauaji ya kijasusi.
Hivyo taarifa zilizokusanywa na wamarekani zilithibitisha kwamba jeshi la Iran Quds force (Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps IRGC) ndilo lilikuwa likitoa mafunzo hayo kwa waasi, Zaidi ya mafunzo pia walitoa silaha , fedha pamoja na mwongozo wa namna ya kufanya ugaidi.
Vikundi hivyo vya waasi ndivyo vilivyokuwa vikishambulia wamarekani na Iraq. Hapa naomba tukumbuke kwamba jeshi hili la Iran IRGC (Quds force) lilikuwa likilea na kuwafunza waasi wa Iraq lilikuwa likiongozwa na Major General Qasem Soleimani tangu mwaka 1998 hadi mauti yalipomkuta tarehe 3 January mwaka 2020.
Tutamzungumzia Zaidi historia yetu ikifika hiki kipindi.
Kwa leo tuishie hapa , nikirudi nitaendelea na mwaka 2006 mgogoro huu ulipofikia……………………………….
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja mzee wa kazi mwaga maji tuu. Tunaenda vzr yani 🤝💯🔝👊👏SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Rais Ahmadinejad aliorodhesha malamiko waliokuwa nayo kuanzia mapinduzi ya mwaka 1953, msaada wa marekani kwa Saddam Hussein kipindi cha vita ya Iran na Iraq pamoja na ndege yao kudunguliwa Iran Air Flight 655.
Mwezi wa tatu mwaka 2009 Waigizaji wa Hollywood na watengeneza filamu walipanga kukutana na wenzao wa Iran Jijini Tehran kama ishara ya kukuza uhusiano wa nchi zao lakini Iran walikataa na kusema “Wawakilishi katika sekta ya filamu wa Iran watakutana na wenzao wa Holywood kama wataomba radhi kwa unyanyasaji na tuhuma dhidi ya watu wa Iran kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita”
19/03/2019 wakati wa sikukuu za Nowruz (Sherehe za mwaka mpya wa Iran au Persia) , Rais Obama alitoa hotuba moja moja kwa watu wa Iran katika video akisema, “Marekani inataka Serikali ya Jamhuri ya kiislamu ya Iran ichukue nafasi yake inayostahili katika jumuiya za mataifa. Mna haki hiyo lakini inakuja na majukumu stahiki”.
Kama nilivyoeleza hapo awali kuwa kuna wanadiplomasia wa Iran walikuwa wakishikiliwa na Marekani pia kuna wamarekani walikuwa wakishikiliwa na Iran , mwanamama Roxana Saberi ambaye alikuwa mwanahabari nchini Iran alihukumiwa kwa kuifanyia kazi ya upelelezi serikali ya marekani nchini Iran , mwanamama huyo alikuwa na uraia wanchi hizo mbili ingawa kwa kuzaliwa alizaliwa nchini Iran , baada ya kukaa jela kwa miezi minne aliachiliwa na mashtaka yake kufutwa.
Kuachiwa kwa mwanamama huyo kulionekana kama ni sehemu ya dili la marekani na Iran kwani miezi miwili baadae wanadiplomasia watano wa Iran wakaachiwa huru na marekani , Hawa ni sehemu ya wale waliochukuliwa katika uvamizi kule Iraq tangu 2007. Ingawa serikali ya marekani ilikataa kukiri kama hiyo ni sehemu ya dili lao na Iran ila ilikuwa ni kwa usalama kati ya Marekani na Iraq.
Mwaka 2009 mwezi wa sita kilikuwa ni kipindi cha uchaguzi wa Iran Obama alisema “Tunasisimka kuona kile kinachoonekana kuwa ni mjadala wenye nguvu huko Iran”. Uchaguzi huo Ahmadinejad alipata ushindi kwa mbinde ambayo ilipelekea tuhuma za udanganyifu na maandamano nchini kwao, Serikali ya marekani ilionyesha kusikitishwa na ubakaji mkubwa wa demokrasia nchini humo.
Hao ndio wale wanaoonyesha kuguswa na nyumba za jirani , wao ndio husikitishwa na unyanyasaji wa raia katika nchi nyingine duniani , wanaojiona ni wakombozi wa dunia kwamba wanaweza kugusa popote hata kulitetea jimbo la HongkONG china, lakini hatujawahi kusikia akiingilia mgogoro wa Catalonia kule uhispania.
Katika mwendelezo wa mgogoro kati ya nchi hizo mbili , mwaka 2009 mwezi wa saba wapanda mlima watatu wa marekani walikamatwa na Iran baada ya kuvuka mpaka bahati mbaya kutokea Iraq eneo la wakurdi. Hawa jamaa nao , kiusalama ilikuwa lazima wakamatwe yaani katika sehemu zote za kufanya hiking duniani wao wameona wakafanye mpakani mwa Iraq na Iran , then wavuke bahati mbaya kuingia Iran. Hapo tunasema kuna namna tu.
Katika hali isiyo ya kawaida mwanasayansi wa Nyuklia wa Iran Shahram Amiri alipotea mwezi wa tano mwaka 2009 na serikali ya Iran ikaishutumu marekani kwamba imemteka mwanasayansi huyo. Tarehe 13/07/2010 shirika la habari la BBC likaripoti kwamba Amiri alikuwa amejihifadhi kama mkimbizi katika Protecting power ya Iran nchini marekani (Pakistan Embassy) Washington DC, anatafuta msaada wa kurudi nchini kwake. Baada ya kufanikiwa kurudi Iran , alihukumiwa kwenda jela miaka 10 , mwezi wa nane mwaka 2016 iliripotiwa kuwa ameuawa sababu ya uhaini.
Mwaka 2011 mwezi disemba ndege isiyo na rubani ya marekani ilikamtwa na jeshi la Iran karibu na jimbo la kashmar, ndege hiyo (drone) ilikuwa ikiongozwa na CIA katika kufanya upelelezi ndani ya Iran, Iran walilalamika kwamba ndege hiyo haikuruka ndani ya anga lao pekee bali ilitua kabisa katika ardhi ya Iran. Mwanzo wamarekani walikataa na kudai droni hiyo ilipata hitilafu na kuanguaka kwa bahati mbaya ndani ya Iran, baadae ilibidi wakiri baada ya mkanda wa video ulivyoonyesha ndege mwenendo wa ndege kabla ya kukamatwa hiyo kwenye runinga.
Baada ya kisanga hicho Iran hawakulaza damu , kama tunavyojua kwenye bahari kuna mipaka ya nchi kama ilivyo anga, na pia kuna sehemu za bahari zinatumika kimataifa (International water) kama ilivyo katika anga, sasa Iran akitoka nje ya mpaka wake baharini na kuingia kwenye Internationa waters hakuacha drone ya marekani ilete mbwembwe, alikuwa akidhamiria kuidungua tu kwa makombora, hii ilikuwa disemba 2011 wapojaribu kupiga drone ya marekani , drone ilikwepa mabomu na kuanza kurejea kwenye base yake kwa mtingi wa Aerial loops (kama zigzag ya spring) huku akifukuzwa na ndege ya Iran. Iran wakaambulia patupu.
Hilo lilizaa kuogopana , vitisho na hofu katika ghuba ya Persia kati ya marekani na Iran.
Mwaka 2013 rais Hassan Rouhan alitwaa kiti hicho huko Iran na kuleta matumaini mapya ya nchi hizo kujaribu kukuza uhusiano wao baada ya Ahmadinejad alitembelea new York kutoa hotuba katika kikao cha umoja wa mataifa, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake alisema yupo tayari kufanya biashara na magharibi , kama kutoa ishara ya kumjibu serikali ya Obama ikaanika ushiriki wa CIA katika kuipindua serikali ya Mohhamad Mosaddegh mwaka 1953. Obama alituma maombi ya kuonana na Rouhani lakini ombi hilo lilikataliwa.
Itaendelea………………………………………………….
Naona uzi umepoa baada ya wadau kuona hamna vita na comment zimepotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haijapoa... Ila hii ya kusoma na kutafakali zaid...SEHEMU YA KUMI NA MBILI

pamoja sana mzee tunashiba nondoSEHEMU YA KUMI NA MBILI