Mbona kataja jina la aliyezikwa , kutokujulikana huko anakokusema ni kupi ?Inabidi kufanya tafiti
Huwezi jua kiongozi, waweza mezwa na chatu hata hilo kaburi usiwe nalo.Langu hamtaliweza
Tea Kama tea nyingine tu me wanipe kazi nilibomoe posho 20000
Huwezi jua kiongozi, waweza mezwa na chatu hata hilo kaburi usiwe nalo.
Ooh okwww.jamiiforums.com/threads/ijue-historia-ya-kaburi-la-sharif-abdushakur-salim-al-attas-lililopo-samora-posta-jijini-dar-es-salaam.20647
Limeshajulikana ni la nani na Historia yake hiyo hapo.
Huna jipya zaidi ya udiniHilo ni kaburi la Sharif na Imam mkuu wa msikiti mkubwa ulokuwepo hapo kabla ya kuingia wajerumani.
Msikiti huo ndio wa kwanza kabla ya kanisa la St Joseph pale Sokoine Drive.
Germans waliposhika hatamu za Tanganyika waliamua kujenga ofisi na nyumba zao barabara hii ya samora na sokoine.ndio mjii wa kisasa ulipoanza kujengwa.
Hivyo huu msikiti ulokuwapo hapo clock tower nao ukawa lazima uvunjwe katika master plan yao.
Wajerumani walipata upinzani mkuu kutoka jumuia ya waislam na wenyeji kuhusu kuvunjwa msikiti huo. Baadae Governor wa German Tanganyika walikubaliana kuuhamisha msikiti huo na kujengwa pale Kitumbini na kukubaliana kaburi la Sharif libaki hapo hapo kama ukumbusho kwa waloleta uislam Dar Es Salaam.
Hapa jambo moja ni kuwa hawa wajerumani walitawala Tanganyika lakini wakiheshimu mila na taratibu za wenyeji kama uchifu na Customary laws.
Pia waliheshimu tarehe za sherehe za kiislam na sheria za mahakama ya kadhi walozikuta.
Waingereza nao waliookuja waliheshemu pia waliheshimu hizi taratibu na hakuna mahali inapo onesha kuwa lilikua tatizo kuruhusu mahakama ya kadhi.
Kinachoshangaza sasa baada ya uhuru wafrika kujitawala na wakristo wafrica ambao hawakuwepo hapa dar es salam leo wamepiga marufuku Mahakama ya kadhi kwa chuki za kidini. Wale walowaletea ukristo hawakuona kuwa ni tatizo ila wao wamejenga chuki dhidi ya Waislam.
Anyway huu msikiti wa Kitumbini ulijengwa na Wajerumani kulipa ule ilokuwapo clock tower na tembelea huu msikiti uone archtect yake ilivo nzuri na kuta imara utadhani umejengwa juzi.
Chuki za kidini zimeletwa na wakuja waloingia Dar juzi kwa azimio la Arusha
Uislamu nijuavyo ulianzia kule Kilwa iweje huyu mtz azikwe pale? Je huko kilwa hakuna watz wa mwanzo kabisa walioamini uislamu? Kwanini waislamu hawamuenzi Imam wao wa mwanzo badala yake wanakaa kueneza udini kupitia kwa Alhaj JK mkweree?
Upo sahihiMwalimu kacopy
Nalipitaga sn hpo ila sijuagi kuwa ni kaburi aiseeJE NI NANI HUYU ASIYEKUWA NA JINA?
Kuna kaburi la siku nyingi sana mitaa ya Clock Tower posta dar es salaam
Ni karibu mita 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam. Ipo bustani ya muda sana na inafikiriwa ipo hapo kama miaka 220 iliopita.
Kwanini kaburi hili liko peke yake tena katikati mwa jiji?
JE NI NANI HUYU?View attachment 2710939