Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Kuna wansyansi walisema wamekuta mabaki ya Ramsey 2 baharini mahali pale walomezwa na maji, na wewe unakuja na hii. Ngoja nitafute taarifa zaidi ntakuja
 
Yote hayo ni mazungu tu, ngozi nyeupe hizo
Hivi unajua bypass surgery imegunduliwa na mtu mweusi ambaye ni carpenter? Na hao watu wako unao wasujudu wakachukua credit kwa muda mrefu? Please google hivi vitu...usijidharau na kujichukia kiasi hicho!
 
Sijichukii mkuu wala siwajuudu hao watu, kwenye ukweli tuseme. Wezetu wako mbali kuliko sisi, sisi tukiwepo ni mmoja mmoja tu
 
Alafu sio watu wa pink tu, mbona kuna waasia, na jaribu kuelewa kuwa civilization imeanzia kwetu na inarudi tena kwetu! Hichi kitu ni kama wingu kubwa na linaakaa mahali kwa muda alafu linaondoka linakwenda kwingine!
Kikubwa ni ku have faith in yourself! Kama wao wameweza kwa nini mimi nisiweze! Angalia kina Dangote wametoka wapi! Nuia jipe ujasiri, hakika hakuna kitu utakacho shindwa hapa duniani! Nakutakia maisha mema yaliyojaa ujasiri tele!
 
Sawa mkuu
 
Nimepata proof fulani hapa katika bilble, ukisoma Nehemia 8;6 inasema ''Ezra akamhimidi Bwana, Mungu Mkuu. Nao watu wote wakaitika, Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao; kisha wakainama vichwa vyao, wakamsujudu Bwana kifudifudi.''
Hii inathibitisha ile kauli ya wamisri kuwa Mungu mkuu ni ''Amen'' Kama tunavyoona hapo wana waIsrael walipomsujudia kifudifudi
 
Goddess and Gods
 
Attachments

  • egyptian-gods.jpg
    egyptian-gods.jpg
    184.6 KB · Views: 54

Similar Discussions

Back
Top Bottom