Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,708
- 1,553
- Thread starter
- #401
Unadhani hakuna jiwe lililochongwa ili kutuaminisha kama Rutu aligeuka jiwe!?Hahaha...nafikiri wewe hujaelewa swali langu hasa linataka nini,
Twende hivi:-
Mpaka kufikia miaka ya 1979 wachambuzi wa Biblia na watafiti mbalimbali walitangaza kuwa walifanikiwa kupata baadhi ya mabaki ya mbao zilizotumika kuitengeneza safina ya Nuhu huko babilon ya zamani.
Sii hilo tu,miaka ya 1800's wapo waliosema waliona kabisa jiwe lenye umbo la mtu mwanamke anayegeuka upande wa kushoto hivyo ikaaminika kuwa habari ya mke wa Lutu kugeuka kuwa jiwe la chumvi ni kweli.
Lakini mpaka leo hii usemi wa wasomi na wa kisayansi unasema kuwa "To see is to believe"
Have you seen all those in Egypt?
Hakuna mifupa na michoro iliyokuja kuongezwa katika utawala wa Eqypt baadaye ili kuvutia utalii
Carbon 14 iligunduliwa lini?
Does that justify the Incorrect of the Bible?
Unadhani hakuna vipande vya mbao vilivyotengenezwa ili kutuaminisha vilikuwa kwenye Safina ya Nuhu!!
Ahahahaha hiki ni kichekesho kikubwa zaidi kuwahi kutokea! Vibao! leo karne ya 20 vije kuthibitisha kama viliunda safina ya Nuhu!! Unajuaje na unathubutu vipi kusema hivyo ikiwa vibao vipo tangu kale? na mamilioni ya watu tangu kale wamekuwa wakiunda nyumba, ngalawa, mitumbwi na kadharika kwa vibao!?
Kuona vibao tu mnatoa proof kuwa ilikuwa ni safina! Mkiona bustani iliyotelekezwa!? si mtasema ilikuwa Eden/aliishi Adam
Kifupi proof zenu ni za kulenga na manati proof za ajab ajab!