Ijue gari yenye cc kubwa iliyozinduliwa juzi Dubai

fundinaizer

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,716
2,598
Gari hii ina Horse power (hp) 5000 ambayo ni sawa na CC 162500, Maximum speed 300kmph

4934be593551f2ac4de133af31bd36dd.jpg

Video-->
 
leta data zilizokamilika mzee jiulize mbna buggati hp ndogo ila speed kubwa ...kifupi hiyo gari max speed sio 300kph ..300kph ni uwezo wa spid meter kusoma mwsho hapo ni kama yamaha r1 au honda cbr 1000 zinatop speed had 320kph but spid meter inasoma 299kph ndo mwsho....hiyo gari ina 562kph
 
alafu gari inakuaje na cc 162,500 zinakaa wapi sasa maana hata ukubwa wa umbo la costa haufiki hivo in cc's sembuse hako kagari?? inshort kana cc 12300 ni V16
 
leta data zilizokamilika mzee jiulize mbna buggati hp ndogo ila speed kubwa ...kifupi hiyo gari max speed sio 300kph ..300kph ni uwezo wa spid meter kusoma mwsho hapo ni kama yamaha r1 au honda cbr 1000 zinatop speed had 320kph but spid meter inasoma 299kph ndo mwsho....hiyo gari ina 562kph
umesahau na kowasaki ninja na suzuki hayabussa
 
Gari hii ina Horse power (hp) 5000 ambayo ni sawa na CC 162500, Maximum speed 300kmph

4934be593551f2ac4de133af31bd36dd.jpg

Video-->

Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya concept na production car,vile vile kuna tofauti kubwa sana kati ya kph na mph kisha angalia hizo CC ulizoweka zitakaa wapi ? Yaani kwa hizo cc ni engine ya meli labda. Kumbuka ulimwengu ni mdogo siku hizi kuna sehemu nyingi sana za kupata credible information. Kabla ya ku post fanya uchunguzi kwanza usilete stori za kijiweni mkuu
 
Ukisema linaenda kilometer 300 per saa ni uongo.kumbuka ukisema hivyo tafisili yake ni kwamba gari hilo lina speed 300 ndo mana linaweza kwenda klm 300per hour,gari la hivyo utakuta lina Cc 2500 mpaka 3000.sasa hili la Cc 162500 itakua ni zile treni za umeme ndugu na siyo gari.dunia nzima hapa chini ya jua hakuna gari lenye Cc 162500 halipo.labda Cc ya jini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom