fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,724
- 2,627
Gari hii ina Horse power (hp) 5000 ambayo ni sawa na CC 162500, Maximum speed 300kmph
Video-->
Video-->
Looks like Caddilac V16alafu gari inakuaje na cc 162,500 zinakaa wapi sasa maana hata ukubwa wa umbo la costa haufiki hivo in cc's sembuse hako kagari?? inshort kana cc 12300 ni V16
umesahau na kowasaki ninja na suzuki hayabussaleta data zilizokamilika mzee jiulize mbna buggati hp ndogo ila speed kubwa ...kifupi hiyo gari max speed sio 300kph ..300kph ni uwezo wa spid meter kusoma mwsho hapo ni kama yamaha r1 au honda cbr 1000 zinatop speed had 320kph but spid meter inasoma 299kph ndo mwsho....hiyo gari ina 562kph
Dubai hawana mafuta .Kwa kule ni poa tu maana mafuta wanachimba wenyewe.
Gari hii ina Horse power (hp) 5000 ambayo ni sawa na CC 162500, Maximum speed 300kmph
Video-->
Sidhani kama mleta mada ana uelewa wa vyombo vya moto hata kidogo au hata uelewa wa lugha iliyotumika dubai motor show.alafu gari inakuaje na cc 162,500 zinakaa wapi sasa maana hata ukubwa wa umbo la costa haufiki hivo in cc's sembuse hako kagari?? inshort kana cc 12300 ni V16