Ijue Free Fire, Game No 1 Duniani kwa sasa

Zinafanana, Pubg anamfukuza Free fire, but kwa sasa free fire bado ana downloads nyingi

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Download nyingi kushinda update za pubg?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Screenshot_20200418-184112.jpg
Screenshot_20200418-184257.jpg
Screenshot_20200418-184355.jpg
 
Wenzetu wanavumbua dawa za kutibu Magonjwa makubwa sisi tunaleta ujuaji wa game hapa. Hata mask ya kuagiza. SIDO wapo, VETA wapo, UDSM wapo. Maboss vitambi Kama vyote,. V8 full AC
😂 😂 😂 😂 😂 we jamaa
 
Back
Top Bottom